Kitaifa
MAKONDA ASISITIZA KUTOVUMILIA WAKANDARASI WAZEMBE AFCON
NA SELINA MATHEW, Dodoma WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesisitiza kutovumilia wakandarasasi na watendaji wazembe watakaokwamisha kukamilika kwa utekelezaji mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Soka wa Arusha na uboreshaji miundombinu ya michezo nchini ambayo itatumika katika fainali za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027). Michuano hiyo msimu […]
Read more
NMB YAONGEZA MAGARI MAALUMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA
Na MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imeendelea kuchochea upatikanaji wa huduma za kifedha katika maeneo mbalimbali yakiwamo yenye changamoto, kwa kuongeza magari mahususi kwa maeneo hayo. Uwepo wa magari hayo ambayo sasa yamefikia 15 ni fursa muhimu kwa kuwa hayatoi tu huduma za kifedha pekee, bali pia hutoa elimu ya kifedha, ufunguaji wa akaunti, huduma […]
Read more
RAIS DK. SAMIA ALIVYOIPAISHA MICHEZO
Na SELINA MATHEW, Dodoma SERIKALI imeainisha hatua ambazo zimechukuliwa kuwezesha nchi kupanda katika masuala ya michezo chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan. Kauli hiyo ilitolewa bungeni na Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la papo kwa papo la Mbunge wa Amani Zanzibar, Abdul Yussuf Maalim. Katika swali lake, mbunge […]
Read more
PAPA LEO XIV APOKEA UJUMBE WA RAIS DK. SAMIA
VATICAN CITY, Vatican WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabiti Kombo amewasilisha ujumbe maalumu wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV. Barua hiyo ya Rais Dk. Samia kwa Papa Leo iliwasilishwa na Waziri Kombo katika ziara rasmi ya kiserikali aliyoifanya Vatican […]
Read more
Kimataifa
YANGA, AL AHLY MECHI YA MAAMUZI
Na NASRA KITANA WAKATI timu ya Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa huo ni mchezo wao wa maamuzi, hivyo hawatakubali kupoteza. Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), dhidi ya Al Ahly ya Misri, […]
Read more
NEEMA YA MAJI KILA KIJIJI 2030
Na FRED ALFRED, Dodoma RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Maji, kuhakikisha inafikisha huduma hiyo katika vijiji vyote nchini kabla ya mwaka 2030, ukiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hayo yalibainishwa na Waziri wa wizara hiyo, Juma Aweso, alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya wizara hiyo, ndani […]
Read more
SAUTI YA WATANZANIA IHESHIMIWE -DK. SAMIA
DodomaNa Selina Mathew RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema sauti ya Watanzania imesikika kupitia sanduku la kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 mwaka, hivyo inapaswa kuheshimiwa.Dk. Samia aliyasema hayo katika hafla ya ufunguzi wa mwaka mpya wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini, Ikulu Chamwino Dodoma. Alisema demokrasia ni safari ya ukuaji na kwamba […]
Read more
MANNY PACQUIAO KUTUA BONGO NA MAMBO MAWILI
Na AMINA KASHEBA BINGWA wa zamani wa ngumi za kulipwa duniani, Manny Pacquiao kutoka Ufilipino, anatarajiwa kuja nchini kuhamasisha mchezo wa masumbwi na kushiriki shughuli za kijamii. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Rais wa BFT, Lukelo Wililo ambaye pia aliweka wazi kwamba mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 47, atawasili kati ya Machi […]
Read more