Wednesday, September 9, 2026

Toleo Maalumu

Habari

RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

Na Cde SHAKA HAMDU SHAKA AGOSTI 26, 2026, ilikuwa siku ya kihistoria. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ilifanya uamuzi mgumu wenye dhamira ya kubeba maslahi mapana ya Taifa. Maamuzi hayo, yakapata baraka na kukamilika Jumamosi, Agosti 29, 2026 siku ambayo vizazi vijavyo, vitaisoma kwenye vitabu vya kumbukumbu ya nchi yetu. Lakini kubwa kuliko yote, ni siku iliyojibu […]

WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

Na SELINA MATHEW, Dodoma SERIKALI imeagiza kuanza zoezi la kitaifa la uhakiki wa umiliki na mienendo ya silaha nchini. Imesema lengo ni kutambua kila silaha, wamiliki wake na namna zinavyomilikiwa na watu. Waziri Katambi, amesema ametolewa siku 60 kwa wenye silaha haramu, kuzisalimisha bila kushtakiwa. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alitoa […]

NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

Na MWANDISHI MAALUMU MAKAMU wa Rais, Deogratius Ndejembi, amewataka watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kuongeza bidii, uwajibikaji na kuachana na utendaji kazi kwa mazoea. Pia, wahakikishe majukumu ya serikali yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati. Ndejembi alitoa wito huo jijini Dodoma, alipofanya ziara yake ya kwanza katika Ofisi ya Makamu […]

TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

Na MWANDISHI WETU, Dodoma NAIBU Katibu Mtendaji wa Menejimenti ya Utendaji na Tathmini Tume ya Taifa ya Mipango, Sosthenes Kewe, amesema ni umuhimu kwa miradi ya umwagiliaji kuwa na matokeo yanayoonekana kwa jamii na kuzingatia vipaumbele vya taifa. Kewe alisema hayo katika kikao baina ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) na Tume ya Taifa […]

UCHAGUZI

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

WATANZANIA 37,647,235 KUPIGA KURA LEO

Na WAANDISHI WETU TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza maandalizi yote muhimu ya Uchaguzi Mkuu wa wa Rais, Wabunge na Madiwani, yamekamilika.Jumla ya wapigakura 37,647,235, wamethibitishwa kushiriki uchaguzi huo. Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, amesema hayo kupitia taarifa ya tume hiyo na kusisitiza, uchaguzi huo, unafanyika kwa mujibu wa masharti ya Ibara […]

KISHINDO SIKU 60 ZA DK. SAMIA

Na MUSSA YUSUPH,Mwanza SHAMRASHAMRA za maandalizi ya mkutano wa kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu, zimeendelea kuutikisa Mkoa wa Mwanza ambapo Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi, wapenzi, wanachama na wakereketwa wa CCM. Katika mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu, katika Uwanja wa CCM […]

DK. MWINYI AJAWA MATUMAINI KIBAO

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema wana matumaini kuwa CCM itashinda kwa kishindo katika Uchaguzi wa kesho kutwa. Dk. Mwinyi alisema hayo, katika ufungaji kampeni za Uchaguzi Mkuu wa CCM, uliofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mjini Unguja Alisema kutokana na wingi wa wanachama […]

DK. NCHIMBI AELEZA MAFANIKIO YA KAMPENI ZA CCM NCHINI

Na NJUMAI NGOTA,UKEREWEMGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amefunga kampeni za Chama kwa kishindo huku akisema amezunguka takribani mikoa yote kwa mafanikio makubwa.Katika mikutano yake ya kampeni, Dk. Nchimbi, ameinadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2025–2030 na kumwombea kura za Urais, Dk. Samia Suluhu […]

Siasa

ZIARA YA KIHONGOSI MWANZA YAREJESHA MATUMAINI KWA WANANCHI

Na MWANDISHI WETU ZIARA ya Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi, mkoani Mwanza, imerejesha matumani kwa wananchi wa jiji hilo. Kihongosi ambaye amefanya mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Furahisha, Nyamagana mkoani humo, ametatua baadhi ya changamoto za wananchi papo kwa papo. Miongoni mwa wananchi waliotatuliwa […]

WATU 120, 780 KUMCHAGUA MBUNGE JIMBO LA PERAMIHO

Na MWANDISHI WETU, Ruvuma WAPIGA Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, watashiriki uchaguzi wa kuchagua mbunge wa Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa […]

SIKU 100 ZA KAZI NA UTU, ZAIKOSHA CCM

Na ZIANA BAKARI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na mwanzo mzuri wa utekelezaji wa Ilani yake, uliofanyika katika siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, huku kikiwataka Watanzania, kuaminiana na kuzungumza kwa pamoja kwa kuwa jamii inahitaji maridhiano, siyo fujo. Hayo yalibainishwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, alipofanya mahojiano kupitia kipindi […]

TULIENI NYUMBANI

>>Ni agizo la Waziri Mkuu Dk. Mwigulu >>Simbachawene  asema maandamano ni haramu Na IRENE MWASOMOLA SERIKALI imewataka wananchi wasiokuwa na ulazima wa kutoka leo, watulie nyumbani. Agizo hilo limetolewa na Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, alipowasilisha salamu za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ambapo aliwatakia Watanzania kheri. Kupitia […]

KIHONGOSI ATOA MAAGIZO KWA MADIWANI 

Na ATHNATH MKIRAMWENI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani kufanya kazi zinazobeba ajenda za wananchi, zitakazotoa majawabu ya kero katika maeneo yao. Pia, CCM imesema itaendelea kusimamia vyema misingi ya uadilifu kwa watendaji wa Chama. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, jijini Dar es Salaam, alipozungumza na […]

Biashara

DEMOKRASIA ISIZICHAFUE NCHI ZETU – RAIS DK. SAMIA

Na ATHNATH MKIRAMWENI RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Tanzania na Kenya, kulinda na kuheshimu demokrasia kwa kuzingatia utaratibu, sheria na misingi ya uendeshaji wa serikali, hivyo wasikubali ichafue  nchi na mila zao. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam jioni, alipohutubia Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Kenya, lililofanyika katika Kituo […]

YANGA, AL AHLY MECHI YA MAAMUZI

Na NASRA KITANA WAKATI timu ya Yanga ikitarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa huo ni mchezo wao wa maamuzi, hivyo hawatakubali kupoteza. Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani kesho katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL),  dhidi ya Al Ahly ya Misri, […]

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

Na IRENE MWASOMOLA TANGU kuingia madarakani kwa serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imesaidia kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hakika kazi kubwa imefanyika ya kuongeza makusanyo ya kodi kupitia TRA, hivyo kufanikisha dhima ya serikali ya utekelezaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa.  […]

Michezo

KETE NGUMU SIMBA, PAMBA JIJI  

Na NASRA KITANA KIKOSI cha Simba leo kinashuka dimbani katika mchezo namba mbili, kumenyana na Pamba Jiji katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba itakuwa ugenini kupepetana na Pamba Jiji katika mechi itakayopigwa   dimba la CCM Kirumba, Mwanza kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Timu hiyo yenye maskani yake Mtaa […]

FVS MWAROBAINI TLP KUPUNGUZA MAKOSA

ABDUL DUNIA Na NASRA KITANA WAKATI mechi za mzunguko wa kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara, msimu huu, zikimalizika mwisho mwa wiki, Teknolojia ya Usaidizi wa Video (FVS), imeelezwa inaweza kuwa tiba ya makosa ya waamuzi na kuleta usawa kwa timu katika kuamua matukio uwanjani. FVS ilianza kutumika katika mechi ya Ngao ya Jamii, iliyochezwa wiki […]

SIMBA NI SHANGWE

Na MWANDISHI WETU, Bukoba UNAWEZA kusema ni shangwe baada ya timu ya Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar. Mashabiki wa klabu hiyo, mkoani Kagera, jana walipokea kwa furaha ushindi huo, baada ya wiki iliyopita timu yao kupokea kipigo cha 1-0  kutoka kwa watani wao wa jadi, Yanga katika mchezo wa […]

KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

ABDURAHIM MZAKILU, JENIPHER MWACHIPA (UDSM) Na NASRA KITANA WAKATI Yanga na Simba zikishuka dimbani kesho, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefichua kuwa, sababu ya mechi hiyo kupigwa Zanzibar ni ubora wa Uwanja wa New Amaan Complex. Yanga na Simba zitachuana katika Ngao ya Jamii kesho saa 2:30 usiku katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar. Akizungumza […]

TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

Na ABDURAHIM MZAKILU,(UDSM) IKIBAKI siku moja kabla ya Yanga na Simba kuchuana katika Ngao ya Jamii, mchezo huo utakuwa na utamu wa kuwepo wa mastraika Peter Shalulile na Ibrahim Doumbia ambao wataongeza chachu ya ushindani wa miamba hiyo. Huku uchungu ukiwepo kwa timu ambayo itapoteza mchezo huo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki kuona […]

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?