#PICHA : RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, alipowasili Ikulu, Chamwino, jijini Dodoma.