Toleo Maalumu

Habari

JESCA: DK. SAMIA NI KIONGOZI JASIRI

Na MUSSA YUSUPH, Geita MGOMBEA Ubunge wa Viti Maalumu, Jesca Magufuli, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mwenye ujasiri mkubwa na shupavu ambaye katika kipindi cha miaka minne ametekeleza miradi mikubwa ya kimkakati. Jesca ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika viwanja vya […]

MAFANIKIO YA WATANZANIA YAKO KATIKA MATENDO – DK. MIGIRO

Na MUSSA YUSUPH, Geita KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Asha- Rose Migiro, amesisitiza kuwa, mafanikio ya Watanzania, hayapo katika maneno bali ni matendo. Dk. Migiro, aliyasema hayo katika mkutano wa kampeni, uliohutubiwa na Mgombea Urais kupitia CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Bukombe. Alieleza kuwa, kwa […]

DK. SAMIA AAHIDI UCHUMI JUMUISHI

Na MUSSA YUSUPH, Geita MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi kuleta maendeleo na kujenga uchumi jumuishi. Akizungumza katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Bukombe, Dk. Samia, aliwahakikishia wananchi kwamba, atawatumikia kuleta maendeleo na kujenga taifa jumuishi. Alisema wachimbaji wa wilaya hiyo, walikuwa wakivamia […]

DK. MWINYI AAHIDI KUJENGA HOSPITALI MAALUMU YA SARATANI

Na HANIFA RAMADHANI, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga hospitali maalumu ya kisasa ya maradhi ya saratani visiwani humo, kuwarahisishia wagonjwa wa maradhi hayo kutokwenda nje ya nchi kufuata huduma. Dk. Mwinyi alieleza hayo, Ikulu Mjini Unguja, katika hafla ya utiaji saini wa ujenzi, ukarabati […]

DK. NCHIMBI ATAJA KIPAUMBELE CCM

Na SELINA MATHEW, Kigoma MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kutumikia wananchi ni kipaumbele cha kwanza cha CCM, ndiyo maana kimeendelea kuaminiwa. Hayo aliyasema wakati akiomba kura kwa wananchi na wanaCCM katika Wilaya ya Kigoma Vijijini, Jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma. “Tunaomba kura kwa miaka […]

Uchaguzi

Siasa

Biashara

MAJALIWA : MRADI GESI YA LNG KUIKOMBOA LINDI KIUCHUMI

Na Mussa Yusuph, Lindi WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema utekelezaji wa mradi wa gesi ya LNG unaotarajiwa kufanyika mkoani Lindi ni ukombozi wa kiuchumi katika mkoa huo na Taifa.Kutokana na hilo, Majaliwa ametoa wito kwa wananchi mkoani Lindi kumpigia kura Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan akamilishe taratibu zilizobaki kutekeleza mradi huo wa […]

BILIONI 499/- ZAPATIKANA KUPITIA UTALII

Na Mwandishi Wetu  IDADI ya watalii wanaotembelea vivutio mbalimbali Tanzania imeongezeka kutoka 786,710 kwa mwaka wa fedha 2016/2017 hadi kufikia 1,493,135 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kuchangia zaidi ya sh. bilioni 499 katika pato la Taifa. Kamishna Msaidizi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), July Lyimo, alisema hayo jijini Arusha alipowasilisha mada katika […]

SERIKALI YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FUSRA AFCON

Na AMINA KASHEBA SERIKALI imewataka Watanzania kujipanga na kuchangamkia fursa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027). Michuano hiyo inatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Akizungumza Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo wa Taifa (BMT), Neema Msitha amesema Watanzania wanatakiwa kuchangamkia fursa […]

Michezo

MOROCCO ATAJA KILICHOIPONZA STARS

Na AMINA KASHEBA KOCHA timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Hemedi Sulemain ‘Morocco’,  amesema sababu ya kushindwa kupata ushindi katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia ni wachezaji wake kukosa umakini wa kutumia nafasi. Juzi, Stars ilifungwa bao 1-0 dhidi ya Zambia katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia, […]

TAIFA STARS, ZAMBIA NI MECHI YA HESHIMA

Na AMINA KASHEBA TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’ itashuka dimbani leo kupambana na Zambia katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huo umepangwa kufanyika saa 4:00 usiku katika Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Akizungumza na vyombo vya habari, Kocha Mkuu wa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema maandalizi yote yamekamilika kuelekea pambano […]

YANGA, SINGIDA, MLANDEGE MZIGONI TENA KIMATAIFA

Na AMINA KASHEBAWAWAKILISHI watatu wa nchi katika michuano ya kimataifa, leo wanashuka dimbani katika viwanja tofauti kuwania nafasi ya kucheza hatua ya pili ya mtoano.Wawakilishi hao ni Yanga ya Dar es Salaam na Mlandege ya Zanzibar zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) pamoja na Singida Black Stars kutoka Singida iliyopo katika Kombe la Shirikisho Afrika […]

SIMBU APANDISHWA CHEO

Na MWANDISHI WETU MKUU wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempongeza Sajini Alphonce Simbu kwa ushindi wa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathon ya Dunia Kilomita 42, zilizofanyika Tokyo Japan. Pia, Jenerali Mkunda amempandisha cheo  mwanariadha huyo kutoka Sajini kuwa Sajinitaji. Jenerali Mkunda alitoa pongezi hizo ofisini kwake Upanga Jijini […]

Burudani

Maoni ya Mhariri

Mitandao ya Kijamii

Instagram

Tiktok

error: Content is protected !!