• ePaper
Wednesday, March 18, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 17, 2026
in Burudani, Michezo
0
HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MANCHESTER, Uingereza

MECHI za marudiano za hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zinatarajiwa kupigwa leo kwa michezo minne katika viwanja tofauti.

Katika michuano hiyo, Manchester City ya Uingereza itakuwa nyumbani kuchuana na Real Madrid ya Hispania katika Uwanja wa Etihad saa 5:00 usiku.

Man City itachuana na Madrid ikiwa na kumbukumbu ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 katika mtanange wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Santiago Bernabeu, Hispania.

Arsenal ya Uingereza ambayo awali ilitoka sare 1-1 leo itakuwa nyumbani kurudiana na Bayer Leverkusen ya Ujerumani katika Uwanja wa Emirates, London saa 5:00 usiku.

Chelsea ya Uingereza leo saa 5:00 usiku itakuwa nyumbani katika Uwanja wa Stamford Bridge kuchuana na PSG ya Ufaransa, ambapo katika mechi ya awali, Chelsea ilikubali kichapo cha mabao 5-2.

Mchezo wa mapema siku ya leo, utakuwa kati ya Sporting ya Ureno na Bodo Glimt ya Norway katika Uwanja wa Jose Alvalade saa 2:45 usiku.

Katika mtanange wa kwanza, Bodo Glimt iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 nyumbani.

Previous Post

SABABU SARE AZAM, YANGA SC IKO HAPA

Next Post

SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DK. YONAZI

Next Post
SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DK. YONAZI

SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA - DK. YONAZI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. SAMIA AAHIDI NEEMA MPYA KWA WAKULIMA

DK. SAMIA AAHIDI NEEMA MPYA KWA WAKULIMA

7 months ago
RAIS DK. SAMIA AWALILIA WATUMISHI WALIOFARIKI AJALI YA BOTI KIGOMA

RAIS DK. SAMIA AWALILIA WATUMISHI WALIOFARIKI AJALI YA BOTI KIGOMA

3 days ago

Popular News

  • MANDONGA AJA KIVINGINE

    MANDONGA AJA KIVINGINE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI YATUMIA BILIONI 64/- KUBORESHA UWANJA WA NDEGE IRINGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWIGULU AWAWEKA MTEGONI VIGOGO WILAYA, HALMASHAURI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ALAMA TATU KUMUENZI JPM

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DK. YONAZI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?