• ePaper
Sunday, August 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MANDONGA AJA KIVINGINE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 17, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
MANDONGA AJA KIVINGINE
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

BONDIA Karim Mandonga ameibuka na kusema anakuja kivingine kwa kumtandika Maximilian Clavery ‘Black Cobra’katika pambano la ‘Punch ya Mama’.

Mandonga na Clavery wanatarajiwa kupanda ulingoni katika pambano la utangulizi raundi sita, uzito wa juu litakalofanyika Sikukuu ya Idd Pili katika Uwanja wa Kinesi jijini Dar es Salaam.

Akizungumza Dar es Salaam, jana, Mandonga alisema mashabiki na wadau wake wa ngumi wafike kwa wingi na wategemee ushindi mzito kutoka kwake.

“Siogopi chochote,nipo fiti nimejipanga kuhakisha napata ushindi wa kishindo, nimpatie kipigo kikali mpinzani wangu ambacho hatoweza kusahau katika miasha yake,”alisema.

Mandonga aliwaomba wadau wa ngumi kujitokeza kwa wingi katika pambano hilo, kwani amejipanga vizuri kucheza katika kiwango kikubwa.

Maximilian Clavery ‘Black Cobra’katika naye akizungumza Dar es Salaam, jana, alisema amejipanga vizuri kuhakikisha anapata ushindi wa kishindo siku hiyo.

“Nitahakikisha napata ushindi mbele ya Mandonga, sijaona sababu ya mimi kupigwa na huyo kwa sababu nimefanya mazoezi ya kutosha ili kuvunja maneno ya mpinzani wangu.

“Siku hiyo nitaonesha mchezo mzuri maana anaongea sana huyo Mandonga, nimejipanga kucheza katika kiwango kikubwa zaidi,” alisema.

Previous Post

SERIKALI YATUMIA BILIONI 64/- KUBORESHA UWANJA WA NDEGE IRINGA

Next Post

TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA KIUCHUMI, MKUTANO WA IPU

Next Post
TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA KIUCHUMI, MKUTANO WA IPU

TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA KIUCHUMI, MKUTANO WA IPU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

NLD KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

NLD KUUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

11 months ago
KUELEKEA DESEMBA 09, POLISI WABAINI MBINU OVU 12

KUELEKEA DESEMBA 09, POLISI WABAINI MBINU OVU 12

8 months ago

Popular News

  • KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TEC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AWAPA RAHA VIGOGO USHIRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BILIONI 30/- KUJENGA UWANJA WA KISASA SIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?