• ePaper
Saturday, August 15, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 11, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ABDURAHIM MZAKILU, JENIPHER MWACHIPA (UDSM) Na NASRA KITANA

WAKATI Yanga na Simba zikishuka dimbani kesho, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limefichua kuwa, sababu ya mechi hiyo kupigwa Zanzibar ni ubora wa Uwanja wa New Amaan Complex.

Yanga na Simba zitachuana katika Ngao ya Jamii kesho saa 2:30 usiku katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa TFF, Cliford Ndimbo, alisema uwanja wa New Amaan ni bora na unastahili kutumika kwa mtanange huo.

 “Niseme tu hadi sasa uwanja huo upo tayari kwa mchezo wa Ngao ya Jamii baada ya kuufanyia ukaguzi na kujiridhisha kwa asilimia kubwa ubora wake,” alisema Ndimbo.

Hata hivyo, Ndimbo alisema kuwa wanatarajia leo kutangaza majina ya  waamuzi ambao watachezesha mchezo huo muhimu.

Wakati huo huo, Ndimbo alisema TFF imezindua mfumo mpya wa kununua tiketi ambapo kwa sasa zitapatikana kwa njia ya mtandao wa shirikisho hilo.

Ndimbo alisema mfumo huo ni rahisi kuutumia unatoa fursa ya kununua tiketi nne kwa mtu mmoja kwa kutumia tovuti ya WWW.TFF-TICKET.COM.

“Kwa sasa tiketi zote zitakazonunulia katika mfumo mpya, zitakuwa na majina, mfumo huo utaanza kutumika rasmi leo (jana), lengo ni kuboresha mpira wetu na kuwa Kidigital,” alisema Ndimbo.

Timu hizo zimekutana katika fainali hiyo baada ya Yanga kuwa mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2025/26 huku Simba ikiwa bingwa wa Kombe la FA.

Previous Post

TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. NCHIMBI AAHIDI FURSA KWA VIJANA

DK. NCHIMBI AAHIDI FURSA KWA VIJANA

12 months ago
MAGOLI AFUNGUKA SIMBASC

MAGOLI AFUNGUKA SIMBASC

9 months ago

Popular News

  • KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TEC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AWAPA RAHA VIGOGO USHIRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BILIONI 30/- KUJENGA UWANJA WA KISASA SIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?