• ePaper
Wednesday, September 23, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

NGORONGORO HEROES YAFUZU AFCON

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 23, 2026
in Burudani, Michezo
0
NGORONGORO HEROES YAFUZU AFCON
0
SHARES
0
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ jana imefanikiwa kitinga hatua ya fainali kikabe huku ikifuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika AFCON U-20 nchini Ghana baada ya kuifunga Burundi mabao 2-0, katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Tanzania inakwenda kukutana na Sudan katika mchezo wa fainali itakayochezwa kesho, katika Uwanja wa Uhuru kuanzia saa 12:00 jioni.

Sudan ilifanikiwa kutinga hatua hiyo baada ya kuifunga Uganda mabao 3-2 katika mchezo wa fainali ya kwanza uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Mabao ya Ngorongoro Heroes yalifungwa na Juma Abushiri dakika ya 17 baada ya kupiga shuti kali na mpira kuingia kambani huku Faraj Kayanda akipachika bao la pili katika dakika ya 36 baada kupokea pasi kutoka kwa Juma Abushiri.

Ngorongoro Heroes ilianza kampeni yake ya CECAFA U-20 kwa nguvu baada ya kuifunga Rwanda mabao 3-0 na kuicharaza Ethiopia 4-0 na kumaliza nafasi ya kwanza katika kundi A baada ya kujizolea pointi sita.

Tanzania, ambayo ni bingwa mtetezi wa U-20 katika Ukanda wa CECAFA, ilipangwa kundi A na Ethiopia na Rwanda, huku kundi B likiwa na timu za Uganda, Sudan na Djibouti, wakati kundi C zilikuwemo Sudan Kusini, Kenya na Burundi.

Previous Post

YANGA MAMBO MOTO

Next Post

YANGA, SIMBA, WADAU WAMLILIA FATMA KARUME

Next Post
YANGA, SIMBA, WADAU WAMLILIA FATMA KARUME

YANGA, SIMBA, WADAU WAMLILIA FATMA KARUME

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA UJENZI BANDARI YA UVUVI KILWA

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA UJENZI BANDARI YA UVUVI KILWA

9 months ago
KOCHA SIMBA KICHEKO  

KOCHA SIMBA KICHEKO  

4 months ago

Popular News

  • TANZANIA YATOA WITO WA KUIMARISHWA UMOJA WA MATAIFA

    TANZANIA YATOA WITO WA KUIMARISHWA UMOJA WA MATAIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NYOTA TAIFA STARS MZUKA UMEPANDA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, SIMBA, WADAU WAMLILIA FATMA KARUME

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NGORONGORO HEROES YAFUZU AFCON

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA MAMBO MOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?