• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KOCHA SIMBA ACHEFUKWA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
May 26, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
KOCHA SIMBA ACHEFUKWA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

RATIBA ngumu ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetajwa kuwa sababu ya Simba kutopata matokeo mazuri, waliyotarajia katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji.

Simba iliumana na Dodoma Jiji juzi, katika mechi iliyopigwa  Uwanja wa KMC Complex , Mwenge jijini Dar es Salaam. ilishinda 1-0 na kuvuna alama tatu.

Katika pambano hilo, bao la ushindi lilifungwa na Elie Mpanzu dakika ya 63.

Akizungumza baada ya kumaliza mchezo huo, Barker alisema timu yake imekuwa na ratiba ngumu ya kucheza, hali ambayo inasababisha kutopata ushindi mnono.   

“Hii ni mechi ya 16 ndani ya siku 52, si jambo zuri kwa wachezaji maana wanakosa muda wa kupumzika” alisema kocha, mechi zimekuwa nyingi sana,” alilalama kocha.

 Kocha huyo alisema uwepo wa mechi  za timu ya taifa katika kalenda ya Shirkisho la Mpira wa Miguu la Kimataifa (FIFA), utatoa nafasi ya wachezaji wake kupumzika na kufanya maandalizi mazuri kwa michezo iliyobaki.

Kocha wa Dodoma Jiji, Amani Josiah alisema amefurahi kuona mpango kazi wake umeleta ushindani katika  mechi yao dhidi ya Simba.

‘Mechi ilikuwa na ushindani mkubwa, nawapongeza wachezaji wangu kwani wamefuata yale niliyowaelekeza, nimefurahishwa na kiwango cha kipa wangu, Daniel Mgore,” alisema Josiah.

Previous Post

KOCHA SERENGETI BOYS AFUNGUKA

Next Post

NEEMA YA AJIRA MAMBO YA NDANI

Next Post
NEEMA YA AJIRA MAMBO YA NDANI

NEEMA YA AJIRA MAMBO YA NDANI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SERIKALI YAFUTA LESENI 40 ZA UTAFITI  WA MADINI

SERIKALI YAFUTA LESENI 40 ZA UTAFITI  WA MADINI

3 months ago
WADAU WAMGOMEA SAMATTA

WADAU WAMGOMEA SAMATTA

2 weeks ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?