• ePaper
Sunday, September 13, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

DK. NCHIMBI AAHIDI USHIRIKIANO WA KINA JUMUIYA YA KIMATAIFA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
July 27, 2026
in Habari, Kimataifa, Kitaifa
0
DK. NCHIMBI AAHIDI USHIRIKIANO WA KINA JUMUIYA YA KIMATAIFA
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI MAALUMU, Arusha

MAKAMU wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameihakikishia Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), dhamira ya Tanzania kuendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi hiyo katika kuleta mageuzi na kuifanya kuwa na tija kwa nchi wanachama.

Dk. Nchimbi alisema hayo jijini Arusha, alipokutana na Katibu Mkuu wa OACPS, Moussa Batraki.

Alimpongeza katibu huyo kwa kutekeleza ajenda ya mageuzi ikiwemo kuongeza uadilifu na kupunguza utegemezi kwa lengo la kufanya taasisi hiyo kuwa na nguvu zaidi.

Kwa upande wake, Batraki alieleza vipaumbele vya taasisi hiyo ikiwemo suala la kuimarisha biashara, mtangamano miongoni mwa nchi wanachama sanjari na kujenga uhimilivu katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Pia, alieleza dhamira ya taasisi hiyo ya kuweka kipaumbele na uwekezaji katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), hususan katika teknolojia za kidijitali, Akili Unde (AI), ulinzi na usimamizi wa takwimu na taarifa.

Aidha, kuimarisha uhusiano wa kibiashara miongoni mwa nchi zinazoendelea na kuwajengea uwezo wanawake katika masuala ya kiuchumi.

Mazungumzo hayo yalihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Umoja wa Ulaya, Jestas Nyamanga na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Ellen Maduhu.

Previous Post

ANNA ABDALLAH, LUBINGA, KHATIB WAUTETEA MUUNGANO

Next Post

KILIO WANAOKATWA MATITI CHAPATA TIBA MUHIMBILI

Next Post
KILIO WANAOKATWA MATITI CHAPATA TIBA MUHIMBILI

KILIO WANAOKATWA MATITI CHAPATA TIBA MUHIMBILI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA AHIMIZA AMANI, MSHIKAMANO

RAIS DK. SAMIA AHIMIZA AMANI, MSHIKAMANO

8 months ago
MAKUBWA YAFICHULIWA

MAKUBWA YAFICHULIWA

6 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?