• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

BASATA YAMTUPA ‘LUPANGO’ HARMONIZE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 24, 2026
in Burudani, Kitaifa
0
BASATA YAMTUPA ‘LUPANGO’ HARMONIZE
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na JENIPHER MWACHIPA (UDSM)

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia staa wa bongo fleva, Rajab Kahali ‘Harmonize’ kujihusisha na muziki kwa muda usiojulikana kufuatia kukiuka maadili.

BASATA imemfungia staa huyo kwa muda hadi atakapofuata utaratibu aliopewa kwa kosa la kuuweka wimbo wa ‘Kudos’ katika Youtube ambao umeonekana kutokuwa na maadili ya Kitanzania.

Maamuzi ya BASATA yameambatana na adhabu ya kulipa faini ya sh. milioni tano ndani ya siku 14 na kuondoa video ya wimbo wake wa mpya wa ‘Kudos’ katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Edward Buganga alisema wametoa adhabu hiyo ili kuhakikisha wasanii wanafuata maadali yaliyowekwa.

Alisema wimbo huo ulionekana kutokuwa na maadili kutokana na kukiuka maadili na kwamba wametoa onyo kwa wasanii kuhakikisha hawavuki mipaka wanapotoa kazi zao ili kuepuka kufungiwa kila mara.

“Tumemfungia kwa muda hadi pale atakapotimiza masharti ambayo tumempatia, tunaamini hilo litakuwa funzo kwa wengine kuhakikisha wanafuata maadili pale wanapotoa kazi zao,” alisema.

Alisema pia wametoa onyo kali kwa mtayarishaji wa video hiyo Kennedy Sanga ‘Kenny’ ikiwemo kumtaka kulipa faini ya sh. milioni tatu kwa kosa la kutayarisha video yenye maudhui yasiyofaa katika jamii na kutojihusisha na kazi za kisanaa mpaka atakapotekeleza masharti aliyopewa.

Alisisitiza msanii, Faustina Charles ‘Nandy’ ametakiwa kulipa faini ya sh. milioni tatu kwa kosa la kuvaa nguo isiyokuwa na maadili wakati akitumbuiza katika shindano la Miss Universe 2026.

“Vilevile, BASATA haijamwacha salama mtayarishaji wa shindano la Miss Universe, Millen Magese, ametakiwa kulipa faini ya sh. milioni tatu baada ya kumruhusu Nandy kupanda jukwani akiwa na nguo iliyokiuka maadili na tunampa onyo kali kuwa makini wakati wa kutekeleza kazi zake za kisanaa,” alisema.

Previous Post

LATRA YAFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

Next Post

MAKONDA: FIKIRIENI  UPYA JEZI ZA STARS

Next Post
MAKONDA: FIKIRIENI  UPYA JEZI ZA STARS

MAKONDA: FIKIRIENI  UPYA JEZI ZA STARS

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS MSTAAFU MALAWI AWAUSIA WATAZANIA

RAIS MSTAAFU MALAWI AWAUSIA WATAZANIA

6 months ago
KOCHA SERENGETI BOYS AFUNGUKA

KOCHA SERENGETI BOYS AFUNGUKA

5 months ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?