• ePaper
Monday, November 2, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

MAGEREZA: LISSU  HAJAGOMA KULA, YUPO SALAMA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
October 27, 2026
in Habari, Kitaifa
0
MAGEREZA: LISSU  HAJAGOMA KULA, YUPO SALAMA
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

JESHI la Magereza Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku mawakili wake watatu wakizuiwa kumtembelea gerezani.

Katika taarifa hiyo, Jeshi la Magereza limeeleza kuwa taarifa hizo, zinazodaiwa kutolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, si za kweli na zina lengo la kupotosha umma.

Limefafanua kuwa Lissu yupo salama na hajaanza mgomo wa kula chakula kama ilivyoripotiwa.

Kuhusu madai ya kuzuiwa kwa mawakili wake, Jeshi la Magereza limesema mawakili wanaomwakilisha wameendelea kuruhusiwa kukutana naye kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa, baada ya kuthibitishwa kuwa ni mawakili wake.

Limeongeza kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia usalama wa mahabusu na wafungwa wote walio chini ya ulinzi wake halali.

Hivyo, Jeshi la Magereza limewataka wananchi kupuuza taarifa hizo na kuacha kusambaza habari zisizo na ukweli, likisisitiza kuwa kusambaza taarifa za upotoshaji ni kosa kisheria.

Previous Post

PROF. MBARAWA AMPA ONYO  MKANDARASI MRADI WA SGR TABORA- ISAKA 

Next Post

SANGU : MICHANGO YA WANACHAMA PSSSF INALINDWA, INAKUA NA KUREJESHA FAIDA

Next Post
SANGU : MICHANGO YA WANACHAMA PSSSF INALINDWA, INAKUA NA KUREJESHA FAIDA

SANGU : MICHANGO YA WANACHAMA PSSSF INALINDWA, INAKUA NA KUREJESHA FAIDA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

YANGASC YAIFUATA KABYLIE KIBABE

YANGASC YAIFUATA KABYLIE KIBABE

11 months ago
MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

5 months ago

Popular News

  • WAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU

    WAZIRI MKUU AAGIZA MPANGO WA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI KATIKA ELIMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI WA NYERERE AFUNGUKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUANGALIE MUSTAKABALI WA VIJANA WETU – WAZIRI MKUU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VYAMA VYA SIASA VYAMPONGEZA RAIS DK. SAMIA UJENZI MJI WA SERIKALI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TANZANIA, ANGOLA ZAFUNGUA FURSA MPYA ZA KIUCHUMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?