• ePaper
Wednesday, October 15, 2025
Subscribe
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
No Result
View All Result
Home Habari

WASIRA : TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 1, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa, Uchaguzi
0
WASIRA : TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA
0
SHARES
2
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na LILIAN JOEL,

Arusha

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kwamba kazi ya chama hicho kwa sasa ni kuisaka dola kwani mchakato wa kura za maoni zilishapita hivyo hakuna sababu ya kuwa na mgawanyiko tena.

Wsira ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama hicho wakati wa kikao cha ndani ambapo ametumia kikao hicho kuelezea mchakato wa kura za maoni hadi kupatikana walioteuliwa kugombea ubunge na udiwani,

“Kazi yetu ni kuhakikisha mtu ashinde… kwahiyo muache kugawanyika kwasababu kura za maoni zimeshapita hivyo tugawanyike kwa ajili ya zile.

“Wewe unagombana na hewa maana kura zile zimeshapigwa, tena unagombana na mtokeo ambayo na wewe mwenyewe ulikuwepo wakati wa kuhesabu kura umeshuhudia halafu unamkasirikia nani? Unakasirikia matokeo au aliyetangaza, unamkasirikia nani?

“Hakuna hoja hapo bali kwa sasa hoja ni CCM kupata dola na hayo mengine yote tunayoyafanya yote ni mchakato wa kufikia lengo la kupata dola.Hivyo msipoteze lengo kwasababu ya mchakato wa ndani, huo ujumbe wangu wa leo,”amesem Wasira

Amefafanua uongozi huo na kazi ya kusema nani anakuwa na nani hawi ni kazi mbaya na ngumu na amewaambia kutokana na nguvu ya ubinadamu maana wao sio malaika na mpaka hapo walipofikia ni vema wakapongezwa maana kazi yenyewe ngumu.

“Nilikuwa namwambia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha rafiki Sabaya mbona mwanao hakuteuliwa ,nami nilikuwa na mwanangu anagombea lakini hakuteuliwa na mimi ndio Makamu Mwenyekiti…

“Sasa wewe unanung’unikia nini? Ni kazi ngumu lakini nataka niwaambie walioteuliwa sio kwamba wao ni bora kuliko wasioteuliwa, sio kweli ila hili chama lina watu wengi halafu wanauwezo.Hata ukiondoa walioteuliwa ukaamua kupata wwngine tena watakuja wengi na wenye uwezo zaidi ya hawa.”

Previous Post

MBETO : HAKUNA WA KUZUIA USHINDI WA CCM ZANZIBAR 2025-2030

Next Post

DK. NCHIMBI ATANGAZA MITAA YA VIWANDA NCHINI

Next Post
DK. NCHIMBI ATANGAZA MITAA YA VIWANDA NCHINI

DK. NCHIMBI ATANGAZA MITAA YA VIWANDA NCHINI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

KIBU DENIS, MANULA WATEMWA STARS

KIBU DENIS, MANULA WATEMWA STARS

1 month ago
ARAJIGA, KAYOKO HAOO CAFCL

ARAJIGA, KAYOKO HAOO CAFCL

1 month ago

Popular News

  • SIMBA NI MWENDO WA MABAO LIGI KUU

    SIMBA NI MWENDO WA MABAO LIGI KUU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • JESCA: DK. SAMIA NI KIONGOZI JASIRI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFANIKIO YA WATANZANIA YAKO KATIKA MATENDO – DK. MIGIRO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. SAMIA AAHIDI UCHUMI JUMUISHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWINYI AAHIDI KUJENGA HOSPITALI MAALUMU YA SARATANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
error: Content is protected !!
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2025 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.