• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 26, 2025
in Habari, Kitaifa
0
MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA HELKOPTA YATAMBULIWA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ARUSHA
NA MWANDISHI WETU

MIILI ya watu watano waliofariki dunia baada ya Helkopta ya kampuni ya uokoaji ya Kilimedair kuanguka eneo la Barafu Camp, Mlima Kilimanjaro, imetambuliwa.

Ajali hiyo iliyotokea juzi jioni wakati helkopta hiyo ilipotoka kuchukua wagonjwa katika Mlima Kilimanjaro ikiwa na watu watano.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa, iliwataja watu hao ni  Costantine Mazonde raia wa Zimbabwe ambaye alikuwa rubani, Jimy Daniel aliyekuwa daktari na Inocent Mbaga ambaye ni muongoza watalii.

Wengine waliofariki dunia ni Plos David na Plosova Anna ambao ni raia wa Jamhuri ya Czech ambapo walikuwa wamepanda Mlima Kilimanjaro.

“Ndege ya kampuni ya Kilimedair inayofanya kazi za uokoaji Mlima kilimanjaro imepata ajali maeneo ya Bonde la barafu majira ya saa 11:30 jioni, helikopta ilikua na watu watano na wote wamefariki dunia,” alisema Kamanda Maigwa.

Previous Post

KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI

Next Post

JELA MIAKA 25 KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Next Post
JELA MIAKA 25 KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

JELA MIAKA 25 KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. NCHIMBI : CCM INAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA WANACHAMA

DK. NCHIMBI : CCM INAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA WANACHAMA

1 year ago
RAIS DK. SAMIA AONYA WAVURUGA AMANI

RAIS DK. SAMIA AONYA WAVURUGA AMANI

8 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?