• ePaper
Sunday, August 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KOCHA TUNISIA AKIRI UPINZANI AFCON

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 31, 2025
in Burudani, Michezo
0
KOCHA TUNISIA AKIRI UPINZANI AFCON
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RABAT, Morocco

KOCHA wa timu ya taifa ya Tunisia, Sami Trabelsi amesema amesema michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) imekuwa na upinzani zaidi tofauti na awali.

Tunisia ilitoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Tanzania, katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi uliofanyika Uwanja wa Stade Olympique de Rabat, Morocco.

Kufuatia matokeo hayo, Tunisia imetinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo msimu huu ikiwa na pointi nne nyuma ya Nigeria yenye pointi saba kileleni huku Tanzania ikiingia kama mshindwa bora kwa pointi mbili katika kundi C.

Akizungumza baada ya mchezo huo, Kocha Trabelsi alisisitiza kwamba michuano ya msimu huu imekuwa na upinzani mkubwa tofauti na ilivyokuwa awali.

Alisema timu zote walizokutana nazo zimejipanga vyema na zina wachezaji wenye uwezo mkubwa, hivyo iliwafanya kutumia mbinu za ziada kupata nafasi ya kusonga mbele.

Alisema anawapongeza wachezaji wake kutokana na kupambana kuhakikisha timu inafanya vizuri na kusonga mbele hatua inayofuata.

“Michuano ya msimu huu imkuwa na upinzani mkubwa, hata kupata pointi ni lazima upambane kwa kiasi kikubwa kwani kila timu imejipanga na ina wachezaji wazuri.

“Ninachoshukuru tumevuka hatua ya makundi, tunakwenda kujipanga vyema kwa mechi zitakazofuata hatua ya 16 bora, ninatambua tutakutana na timu bora zaidi lakini tutatumia uzoefu wetu kufikia malengo,” alisema.

Previous Post

KISA MABAO 1,000, RONALDO AGOMA KUTUNDIKA DARUGA

Next Post

HERI YA 2026, AMANI NDIYO MPANGO MZIMA

Next Post
HERI YA 2026, AMANI NDIYO MPANGO MZIMA

HERI YA 2026, AMANI NDIYO MPANGO MZIMA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

CCM yatangaza mpango wa uchaguzi 2025

12 months ago
CARRICK KOCHA MPYA MAN UNITED

CARRICK KOCHA MPYA MAN UNITED

7 months ago

Popular News

  • KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TEC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AWAPA RAHA VIGOGO USHIRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BILIONI 30/- KUJENGA UWANJA WA KISASA SIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?