• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

CHANETA IMANI KIBAO NA TUME HURU YA UCHUNGUZI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 31, 2026
in Habari, Kitaifa
0
CHANETA IMANI KIBAO NA TUME HURU YA UCHUNGUZI
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

UONGOZI wa Chama Cha Netiboli Tanzania (CHANETA) umesema una imani na Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchunguza vurugu zilizotokea Oktoba 29, mwaka jana.

Akizungumza Dar es Salaam, Mwenyekiti wa CHANETA, Stella Mwangomale amesema ana imani tume hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Mohammed  Chande Othman ambaye ni Jaji Mkuu mstaafu italeta majibu sahihi kutoka na weledi wa viongozi waliomo.

Aidha, Mwenyekiti huyo alisema amani ni kitu muhimu katika nchi kwa sababu inasababisha uchumi unakua kupitia michezo ambapo vijana wanashiriki mashindano mbalimbali ambayo yanawapatia heshima kimataifa na kukuza uchumi wao.

“Nchi ikiwa na amani kila kitu kinakwenda vizuri hivyo kwangu nina imani na tume huru iliyoundwa na Rais Dk. Samia kwa sababu tuliona kipindi cha vurugu shughuli mbalimbali zilisimama zikiwemo za michezo.

“Hakuna mtu yoyote ambaye alijitokeza uwanjani kufanya jambo lolote hiyo, ukweli pale uchumi ulishuka katika michezo, Watanzania wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya taifa kwani ndiyo tunu muhimu kwetu,” alisema.

Mwenyekiti huyo aliongeza kuwa nchi ikiwa na amani ni heshima na itaweza kupata uwenyeji wa michuano mbalimbali na hapo uchumi utaweza kukua.

Previous Post

CHAI YA MOTO KUPITA KIASI YATAJWA KUCHOCHEA SARATANI YA KOO

Next Post

DIARRA MTEGONI TUZO KIPA BORA

Next Post
DIARRA MTEGONI TUZO KIPA BORA

DIARRA MTEGONI TUZO KIPA BORA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SIKU 100 ZA KUFUNGUA ANGA, RELI NA BANDARI

SIKU 100 ZA KUFUNGUA ANGA, RELI NA BANDARI

7 months ago
NANAUKA AJA KIMKAKATI NEEMA YAZIDI KUWASHUKIA VIJANA

NANAUKA AJA KIMKAKATI NEEMA YAZIDI KUWASHUKIA VIJANA

8 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?