• ePaper
Tuesday, October 13, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

TUME YA MADINI YATOA SIKU 30 KWA WALIOKIUKA MIKATABA YA MSAADA WA KIUFUNDI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 26, 2026
in Habari, Kitaifa
0
TUME YA MADINI YATOA SIKU 30 KWA WALIOKIUKA MIKATABA YA MSAADA WA KIUFUNDI
0
SHARES
8
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

TUME ya Madini nchini imeanza kuchukua hatua kali kwa wamiliki wa miradi 42 ya uchimbaji madini kupitia leseni ndogo za uchimbaji zenye mikataba ya Msaada wa Kiufundi (TSA) ambayo imebainika kutofanyakazi kwa mujibu wa sheria na kanuni.

Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni wahusika kupewa siku 30 kutoa maelezo ya kina na endapo wakishindwa kufanya hivyo, tume itachukua hatua za kisheria ikiwemo kufuta ridhaa ya msaada wa kiufundi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa leo (Agosti 26, 2026), Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, amesema tume imefanya ukaguzi miradi yote ya uchimbaji mdogo wa madini yenye mikataba ya msaada wa kiufundi.

“Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, aliielekeza Tume ya Madini kufanya ukaguzi wa miradi yote ya uchimbaji madini kupitia leseni ndogo za uchimbaji wa madini zenye mikataba ya msaada wa kiufundi ili kufanya tathmini ya utekelezaji wa mikataba hiyo kwa kuzingatia Sheria ya Madini, Sura 123.

Ameongeza: “Kufuatia maelekezo hayo, Tume ya Madini imefanya ukaguzi wa miradi yote ya uchimbaji mdogo wa madini yenye mikataba ya msaada wa kiufundi ili kuhakiki utendaji kazi wa miradi hiyo, uzingatiaji wa masharti ya mikataba pamoja na matakwa ya sheria na kanuni zake kwa wamiliki wa leseni pamoja na watoa msaada wa kiufundi.”

Previous Post

RAIS DK. SAMIA ARIDHIA DK. NCHIMBI KUJIUZURU

Next Post

NDEJEMBI KUMRITHI BALOZI DK. NCHIMBI

Next Post
NDEJEMBI KUMRITHI BALOZI DK. NCHIMBI

NDEJEMBI KUMRITHI BALOZI DK. NCHIMBI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Katibu wa Idara ya Organaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu

GAVU ATAJA SIFA ZA NAFASI URAIS, UBUNGE, UDIWANI

1 year ago
HAKUNA ALIYEPOTEZA NYETI-WAZIRI KATAMBI

HAKUNA ALIYEPOTEZA NYETI-WAZIRI KATAMBI

6 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA AMPA TANO JIHAN DIMACK

    RAIS DK. SAMIA AMPA TANO JIHAN DIMACK

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • HATIMAYE IMELIPA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TANZANIA NJIA NYEUPE MISS GRAND 2026

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMBA, YANGA ZAPIGWA ‘STOP’

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?