• ePaper
Wednesday, October 15, 2025
Subscribe
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
No Result
View All Result
Home Habari

MBETO : HAKUNA WA KUZUIA USHINDI WA CCM ZANZIBAR 2025-2030

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 1, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa, Uchaguzi
0
MBETO : HAKUNA WA KUZUIA USHINDI WA CCM ZANZIBAR 2025-2030

Katibu wa Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo ,Khamisi Mbeto Khamis

0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Mwandishi  Wetu, Zanzibar

CHAMA Cha Mapinduzi  kimesema kitashinda Uchaguzi Mkuu  wa Oktoba Mwaka  huu kwa mujibu  wa sheria na taratibu za kidemokrasia kwani   hakuna  sababu ya   CCM  kushindwa  Visiwani  Zanzibar .

Katibu wa Kamati  Maalum  ya  Nec Zanzibar, Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo  ,Khamisi  Mbeto  Khamis, ameeleza hayo baada ya mgombea  Urais wa CCM, Rais  Dk Hussein  Ali Mwinyi alipohutubia maelefu ya wana CCM na Wananchi.

Mkutano  wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM   kwa Zanzibar ,zimezinduliwa katika Uwanja wa Kumbukumbu  ya Mwenyekiti  Mao Tse Tung,  Kisiwani Unguja.

Mbeto  amesema  Ushindi wa CCM  hauna  kizuizi  chochote  baada ya serikali ya Awamu  ya Nane kutimiza wajibu wa kuwatumikia  wananchi chini  ya serikali ya  Rais Dk Mwinyi.

Amesema haiba  ya Ustawi wa Maendeleo  inayoonekana Unguja na Pemba  ,ni  tiketi  itakayokipatia Ushindi wa  kishindo  CCM Mwaka 2025-2030.

“CCM hakina sababu  ya kushindwa Uchaguzi    huu . Kimetekeleza kwa vitendo Sera zake   kwa ufanisi na viwango stahili ” Alisema Mbeto

Previous Post

TOTTENHAM YAHAMIA KWA AKANJI

Next Post

WASIRA : TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA

Next Post
WASIRA : TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA

WASIRA : TUSAHAU MCHAKATO WA UCHAGUZI, SASA TUUNGANE KUSAKA DOLA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA VIONGOZI WANAOFAA

DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA VIONGOZI WANAOFAA

5 days ago
MBAPPE AMFIKIA HENRY UFARANSA

MBAPPE AMFIKIA HENRY UFARANSA

1 month ago

Popular News

  • SIMBA NI MWENDO WA MABAO LIGI KUU

    SIMBA NI MWENDO WA MABAO LIGI KUU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • JESCA: DK. SAMIA NI KIONGOZI JASIRI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MAFANIKIO YA WATANZANIA YAKO KATIKA MATENDO – DK. MIGIRO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. SAMIA AAHIDI UCHUMI JUMUISHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWINYI AAHIDI KUJENGA HOSPITALI MAALUMU YA SARATANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
error: Content is protected !!
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2025 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.