• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

DK. SAMIA AAPISHWA JIJINI DODOMA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 4, 2025
in Habari, Kitaifa
0
DK. SAMIA AAPISHWA JIJINI DODOMA
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

DODOMA

MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza wake, Dk. Emmanuel Nchimbi, wameapishwa jijini Dodoma, kuanza rasmi safari ya uongozi katika kipindi cha pili cha Serikali ya Awamu ya Sita.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali, wageni waalikwa na wananchi kutoka maeneo mbalimbali  nchini.

Dk. Samia ameapishwa baada ya kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 mwaka huu, ambapo alijitwalia asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa, huku  akiwashinda wagombea 16 wa vyama vya upinzani.

Previous Post

RAIS DK. SAMIA ATOA MAAGIZO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NCHINI

Next Post

HALI YA USALAMA MKOA WA ARUSHA NI SHWARI – RC MAKALLA

Next Post
HALI YA USALAMA MKOA WA ARUSHA NI SHWARI – RC MAKALLA

HALI YA USALAMA MKOA WA ARUSHA NI SHWARI - RC MAKALLA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

PM MWIGULU KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI

PM MWIGULU KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI

8 months ago
HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA

HAPATOSHI LIGI YA MABINGWA ULAYA

6 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?