• ePaper
Sunday, June 7, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

PAPA LEO AAHIDI KUIOMBEA TANZANIA AMANI, UTULIVU

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 29, 2026
in Habari, Kitaifa
0
PAPA LEO AAHIDI KUIOMBEA TANZANIA AMANI, UTULIVU
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.

Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Vatican, kuwasilisha ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Balozi Kombo amekutana na Papa Leo XIV, Jumatano Januari 28, 2026 saa chache kabla ya Katekesi ya kiongozi huyo wa kiroho Vatican.

Katika hatua nyingine, Balozi Kombo na ujumbe wake ulikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Askofu Mkuu, Paul Gallagher, ambaye pamoja na mambo mengine amewasilisha wito rasmi kutoka kwenye Ukulu Mtakatifu kwa Tanzania kufungua ubalozi Vatican. Kwa sasa Tanzania inawakilishwa kutokea Ujerumani.

Previous Post

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI GHARAMA NAFUU ZA BANDO

Next Post

HESABU KALI SIMBA,YANGA ZIKIWAWINDA AL AHLY, ESPERANCE

Next Post
HESABU KALI SIMBA,YANGA ZIKIWAWINDA AL AHLY, ESPERANCE

HESABU KALI SIMBA,YANGA ZIKIWAWINDA AL AHLY, ESPERANCE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

YANGA, MAYO USO KWA USO

YANGA, MAYO USO KWA USO

6 months ago
JITIHADA ZA KUTOKOMEZA FISTULA TUMAINI JIPYA KWA WANAWAKE

JITIHADA ZA KUTOKOMEZA FISTULA TUMAINI JIPYA KWA WANAWAKE

1 week ago

Popular News

  • MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

    MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WFP KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA USIMAMIZI WA MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • HESHIMA KUBWA KWA TANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWIGULU: MAMBO MAZURI YANAKUJA, AIPA TANO SERENGETI BOYS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERENGETI BOYS HESHIMA KILA KONA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?