• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SIMBA YAKIMBILIA MAFICHONI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
February 10, 2026
in Burudani, Michezo
0
SIMBA YAKIMBILIA MAFICHONI
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

BAADA ya kutoka sare michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha  Simba kimeingia kambini jana kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya KMC.

Simba itashuka dimbani kesho kupambana na KMC katika mchezo wa ligi utaofanyika saa 1:00 usiku jijini Dar es Salaam.

Akizungumza maandalizi ya mchezo huo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kikosi kiliwasili nchini jana alfajiri na kuingia kambini moja kwa moja kujiandaa na mechi hiyo.

“Wachezaji wa Simba wamerudi jana alfajiri wameingia kambini na kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo muhimu na KMC, natoa wito kwa wanachama kuja kwa wingi kuja kuishangilia timu kwa mabadiliko makubwa waliyoyafanya.

“Rai yangu kwa wanachama kuja uwanjani katika mechi yetu na KMC kuja kuipongeza wachezaji kwa mabadiliko makubwa yaliyofanyika hivi pamoja na kushinda kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ” alisema Ally. Meneja huyo aliongeza kuwa wanachama wa Simba wanapaswa kuisapoti timu hiyo ifanye vizuri

Previous Post

SALIF KEITA ASHINDWA KUIMBA SAUTI ZA BUSARA

Next Post

MAELEKEZO YA RAIS DK. SAMIA YATEKELEZWA KARIAKOO

Next Post
MAELEKEZO YA RAIS DK. SAMIA YATEKELEZWA KARIAKOO

MAELEKEZO YA RAIS DK. SAMIA YATEKELEZWA KARIAKOO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

UVCCM YAWAPA POLE WALIOPATA MADHILA

UVCCM YAWAPA POLE WALIOPATA MADHILA

11 months ago
MKATABA WA GAMONDI WAWAIBUA MKWASA, PAWASA 

MKATABA WA GAMONDI WAWAIBUA MKWASA, PAWASA 

8 months ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?