• ePaper
Thursday, May 14, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

WASHINDI ‘CHANJA KIJANJA’ WAPATIKANA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
February 18, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
WASHINDI ‘CHANJA KIJANJA’ WAPATIKANA
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

‎WASHINDI wa Kampeni ya ‘Chanja Kijanja, Dili Ndio Hili’ wamepatikana na kukabidhiwa zawadi zao za fedha taslim.

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi jijini Dar es Salaam,  Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim, Stanley Kafu, alisema kampeni hiyo imekuwa njia ya kuonesha kuthamini wateja wa benki hiyo na kuimarisha uelewa wa faida za malipo ya kidijitali.

Amesisitiza kuwa matumizi ya kadi si tu rahisi na salama, bali pia yanaweza kuwa na manufaa kwa mteja.

Naye Mkuu wa Kitengo cha Mifumo Mbadala na Mabadiliko ya Kidijitali wa benki hiyo, Silas Matoi, alieleza kuwa mwitikio wa wateja umeonesha mabadiliko chanya katika namna wanavyoipokea teknolojia ya fedha.

‎Amebainisha kuwa ongezeko la matumizi ya kadi ni ishara ya safari inayoendelea kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu.

‎Kwa upande wake, mshindi wa sh. milioni   15, Asif K. Dhalla alisema ushindi huo umempa furaha na kwamba atazipangilia feaha hizo kufanya maendeleo.

‎”Nimefurahi kuwa mmoja wa washindi na ninaamini fedha hizi zitanisaidia katika kufanya maendeleo mbalimbali,” amesema.

Mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Neema Tatock, amethibitisha kuwa droo zote ziliendeshwa kwa uwazi na haki na kutoa uhakika kwa washiriki wote.

Previous Post

YANGA YAKUBALI YAISHE

Next Post

MWIGULU AWAZUIA MAWAZIRI TANGA

Next Post
MWIGULU AWAZUIA MAWAZIRI TANGA

MWIGULU AWAZUIA MAWAZIRI TANGA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

OUNAHI TEGEMEO MOROCCO AFCON 2025

OUNAHI TEGEMEO MOROCCO AFCON 2025

5 months ago
YANGA TAMBO  TU 

YANGA TAMBO  TU 

2 months ago

Popular News

  • POLISI WAPATA SEHEMU YA KICHWA CHA JAMES TEMBA, MGANGA WA KIENYEJI MBARONI

    POLISI WAPATA SEHEMU YA KICHWA CHA JAMES TEMBA, MGANGA WA KIENYEJI MBARONI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BEHEWA LA AFYA LAIBUA WADAU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • IDADI WAGONJWA AFYA YA AKILI TISHIO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BALOZI DK. BASHIRU AONGOZA JUMUIKO LA KADEFO AKITAJA JITIHADA ZA RAIS DK. SAMIA KUENDELEZA KAGERA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YATANGAZA KUPUNGUZA TOZO YA UENDESHAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?