• ePaper
Wednesday, July 29, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

WATUMISHI NIRC WASHEREHEKEA MWAKA 2026, WAASWA KUIMARISHA MSHIKAMANO, UWAJIBIKAJI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 25, 2026
in Habari, Kitaifa
0
WATUMISHI NIRC WASHEREHEKEA MWAKA 2026, WAASWA KUIMARISHA MSHIKAMANO, UWAJIBIKAJI
0
SHARES
13
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imefanya tafrija ya mwaka wa fedha 2025/26 huku ikitoa wito kwa watumishi kuongeza umoja, mshikamano na uwajibikaji mahala pa kazi.

Hafla hiyo imefanyika katika jengo jipya ofisi ya Tume makao makuu lililopo Njedengwa mkoani Dodoma, lengo ni kutambua mchango wa watumishi wanaojitoa zaidi katika utendaji kazi pamoja na kuimarisha mahusiano miongoni mwa wafanyakazi wa taasisi hiyo.Tafrija hiyo imehudhriwa na watumishi wa NIRC kutoka nchi nzima.

Akizungumza katika tafrija hiyo iliyokutanisha watumishi zaidi ya 300 ambapo

178 kutoka mikoani na wengine 122 kutoka Makao Makuu na watoa huduma zaidi ya 30, Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amewapongeza watumishi kwa utendaji kazi, wenye lengo la kuleta matokeo katika sekta ya Kilimo.

Mapema kabla ya hafla hiyo watumishi hao walishiriki vikao vya Baraza la Wafanyakazi na semina za kitaaluma zilizofanyika siku mbili kabla

Amesema kuwa vikao hivyo vimekuwa nyenzo muhimu ya kukumbushana wajibu wa kisheria na kimaadili ambao watumishi hao wana wajibu kwa wananchi wa Tanzania kusimamia sekta ya Umwagiliaji nchini.

Mndolwa ametoa shukrani za dhati kwa Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa usimamizi thabiti, pamoja na Menejimenti na Wahandisi wa Umwagiliaji wa Mikoa (RIE) na watumishi wote kwa ushirikiano wao uliotukuka.

Aidha, Mndolwa amesisitiza kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea uimara wa familia ya watumishi hao ambapo amewaasa kuendelea kufanya kazi kwa bidii na uaminifu ili kufikia malengo ya Serikali kuongeza eneo la Umwagiliaji.

Previous Post

CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

Next Post

TUUNGANE KUJENGA NCHI – BALOZI NYALANDU

Next Post
TUUNGANE KUJENGA NCHI – BALOZI NYALANDU

TUUNGANE KUJENGA NCHI - BALOZI NYALANDU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA 10 CBE

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA 10 CBE

5 months ago
YANGA, SIMBA NI VIKUMBO

YANGA, SIMBA NI VIKUMBO

7 months ago

Popular News

  • MVUTANO MAZISHI YA WAMBURA WAFIKA KORTINI, DALILI ZA MARIDHIANO ZACHOMOZA

    MVUTANO MAZISHI YA WAMBURA WAFIKA KORTINI, DALILI ZA MARIDHIANO ZACHOMOZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • 50 BORA ‘FORM SIX’ KUSOMA AI NJE YA NCHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DHAHABU YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI 1.2/- YAKAMATWA IKITOROSHWA DAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATAKA UADILIFU, USHIRIKIANO NA MATOKEO KWA VIONGOZI WAPYA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?