• ePaper
Sunday, September 20, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

KOCHA SIMBA KIFUA MBELE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 18, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
KOCHA SIMBA KIFUA MBELE
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

USHINDI wa mabao 2-0, ilioupata Simba   dhidi ya Azam FC, umemfanya Kocha wa  Simba, Steve Barker, kusema kikosi chake kitaendelea kufanya vizuri katika mashindano inayoshiriki msimu huu. 

Simba juzi, ilipata ushindi wa ugenini,  katika mchezo wa sita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Katika mchezo huo, Simba ilipata mabao yake kupitia Rushine De Reuck na Clatous Chama.

Akizungumza baada ya mchezo, Barker alisema pamoja na timu kukosa muda wa kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam, ilicheza kwa kuelewana na  kupambana kwa nguvu kusaka ushindi.

Barker alisema timu ilionesha muunganiko mzuri na kuibana Azam ambayo ilijipanga kuutumia uwanja wa nyumbani kupata matokeo mazuri.

“Nimefurahi kuiona Simba ikipambana kupata ushindi, haukuwa mchezo rahisi, lakini wachezaji wangu walipambana  kupata ushindi,” alisema.

Kocha huyo alisema anajivunia kuwa na kikosi imara chenye kiwango bora, ambacho kinaendelea kuimarika kila uchao.

Mchezaji Rushine De Reuck, alisema wamejipanga kyendelea kuipambania timu kwa jasho na damu ili kupata ushindi katika kila mchezo.

“Haukuwa mchezo rahisi kwetu, hatukufanya maandalizi ya kutosha, lakini tulipambana kufanya vizuri na kutimiza lengo,” alisema Rushine.

Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, alisema wachezaji wake walikosa  umakini hasa kipindi cha pili na kupoteza pambano.

“Tunajipanga kwa mechi inayofuata baada ya kupoteza pointi tatu kwa Simba, nina imani tutapaya matokeo mazuri katika mchezo ujao,’ alisema Ibenge.

Katika msimamo, Simba inaendelea kusalia nafasi ya pili ikiwa na pointi 18 baada ya kushuka dimbani mara sita huku Azam FC ikishika nafasi ya tatu, ikiwa na alama pointi 14 kibindoni, baada ya kushuka dimbani mara saba.

Previous Post

KASI MAANDALIZI AFCON 2027 YAIKUNA CAF

Next Post

JK ATOA USHUHUDA DALILI SARATANI TEZI DUME

Next Post
JK ATOA USHUHUDA DALILI SARATANI TEZI DUME

JK ATOA USHUHUDA DALILI SARATANI TEZI DUME

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

NMB YAONGEZA  MAGARI MAALUMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA

NMB YAONGEZA  MAGARI MAALUMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA

8 months ago
NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

3 weeks ago

Popular News

  • NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE

    NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • JK ATOA USHUHUDA DALILI SARATANI TEZI DUME

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA KIFUA MBELE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KASI MAANDALIZI AFCON 2027 YAIKUNA CAF

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • FUNZO JIPYA KADI NYEKUNDU YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?