• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

BALOZI DK. NCHIMBI AZURU KABURI LA HAYATI MWALIMU NYERERE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
August 30, 2025
in Habari, Siasa
0
MGOMBEA Mwenza wa Urais, Dk. Emmanuel Nchimbi, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiama, mkoani Mara. (Picha na Abdurahman Jumanne)
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na ABDURAHMAN JUMANNE,

Mara

MGOMBEA Mwenza wa Kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo, Butiama na kuzuru kaburi la mwasisi huyo wa Tanzania na CCM.

Dk. Nchimbi ameingia mkoani Mara Agosti 30, 2025 akitokea mkoa wa Mwanza ikiwa ni katika harakati za kuomba ridhaa ya watanzania katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa Kufanyika Oktoba 29, 2025.

Previous Post

WANANCHI MAGU WAELEZA KWA UFASAHA AHADI ZA DK. SAMIA

Next Post

TEMBO WARRIORS KUFANYIWA MCHUJO

Next Post
WACHEZAJI WA TEMBO WARRIORS

TEMBO WARRIORS KUFANYIWA MCHUJO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. MPANGO ATOA MAAGIZO6 MUHIMU TAASISI ZA UMMA

DK. MPANGO ATOA MAAGIZO6 MUHIMU TAASISI ZA UMMA

1 year ago
SERIKALI ZANZIBAR YAONGEZA TEKNOLOJIA KUDHIBITI MAKOSA YA BARABARANI

SERIKALI ZANZIBAR YAONGEZA TEKNOLOJIA KUDHIBITI MAKOSA YA BARABARANI

8 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?