• ePaper
Sunday, April 5, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

WANANCHI KUSINI UNGUJA WAAHIDI KUIPIGIA KURA CCM

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
September 18, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa, Uchaguzi
0
WANANCHI KUSINI UNGUJA WAAHIDI KUIPIGIA KURA CCM
0
SHARES
1
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na EMMANUEL MOHAMED,

ZANZIBAR

BAADHI ya wananchi Mkoa wa Kusini Unguja, wamesema hawana chama kingine cha kukipigia kura zaidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ifikapo Oktoba 29, mwaka huu.

Ahadi hiyo waliitoa Uwanja wa Azimio Mtende, katika uzinduzi wa kampeni za CCM, uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka vijiji vya Wilaya za Kusini na Kati, ukipambwa na ngoma na nyimbo za hamasa.

Mkazi wa Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Zainab Kombo Salum alisema CCM imeendelea kushikamana na wananchi kupitia miradi ya maendeleo, ikiwemo barabara, maji safi na huduma bora za afya.

“Hatuna haja ya kujaribu chama kingine, kwa sababu CCM tayari imeonesha matunda yake,” alisema.

Kwa upande wake, Mkazi wa Mtende, Wilaya ya Kusini Unguja, Ali Suleiman Ali alisema CCM imekuwa ikitimiza ahadi zake, hivyo wapo tayari kuendeleza mshikamano huo.

“Oktoba 29 kura zetu zote ni kwa CCM, chama cha ukombozi na maendeleo ya kweli,” alisema.

Mkazi wa Jambiani, Khamis Abdulla alisema vijana wanajivunia

mikakati ya CCM ambayo inawagusa katika sekta mbalimbali, zikiwemo ajira, michezo na miradi ya kujiajiri.

Mariam Khatib wa Kitogani, alisema CCM ni chama kinacholeta mshikamo wa kijamii kupitia utekelezaji wa Ilani zake za Uchaguzi Mkuu.

Previous Post

DK. MWINYI APANIA KUPAISHA UCHUMI

Next Post

WASIRA AZUNGUMZIA FAIDA ILANI YA CCM

Next Post
WASIRA AZUNGUMZIA FAIDA ILANI YA CCM

WASIRA AZUNGUMZIA FAIDA ILANI YA CCM

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAPATO TRA YAZIDI KUTIKISA

MAPATO TRA YAZIDI KUTIKISA

3 months ago
MWISHO WA ENZI

MWISHO WA ENZI

1 month ago

Popular News

  • CHAMUDATA YAZUNGUMZIA AMANI

    CHAMUDATA YAZUNGUMZIA AMANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MCHENGERWA ASHUSHA MAAGIZO KWA WAGANGA WAKUU WA MIKOA, WILAYA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. MWINYI AELEZA FAIDA YA KULINDA TUNU YA AMANI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UTEUZI WA PROFESA KABUDI GUMZO NCHINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VIONGOZI WA DINI WAHUBIRI AMANI 

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?