• ePaper
Friday, May 8, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

ZUNGU SPIKA MPYA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 11, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa
0
ZUNGU SPIKA MPYA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU,
DODOMA

MBUNGE wa Jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Mussa Zungu, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Uchaguzi huo umefanyika jijini Dodoma ambapo Zungu amepata kura 378 zilizopigwa na wabunge na kumuwezesha kushika nafasi hiyo muhimu ya kuongoza Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ushindi huo unampa jukumu la kusimamia shughuli zote za chombo hicho cha kutunga sheria, kuhakikisha uwajibikaji na kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya Bunge kwa manufaa ya wananchi.

Katika uchaguzi huo, wagombea wengine waliokuwa wakishindana naye ni Vero nica Tyeah kutoka Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) aliyepata kura 0, Anitha Mgaya wa National League for Democracy (NLD) kura 0, Chrisant Nyakitita wa Democratic Party (DP) kura 0, Ndonge Ndonge wa Alliance for Africa Farms Party (AAFP) aliyepata kura 1, na Amin Yango wa Alliance for Democratic Change (ADC) aliyepata kura 1.

Previous Post

BUNGE LA 13 KUANZA RASMI KESHO DODOMA

Next Post

SPIKA ZUNGU : NITAZINGATIA HAKI, UWAZI

Next Post
SPIKA ZUNGU : NITAZINGATIA HAKI, UWAZI

SPIKA ZUNGU : NITAZINGATIA HAKI, UWAZI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

‘TUMUOMBEE KARDINALI PENGO’

‘TUMUOMBEE KARDINALI PENGO’

4 months ago
CCM YAONESHA KUKUBALIKA, MAELFU WAMIMINIKA

CCM YAONESHA KUKUBALIKA, MAELFU WAMIMINIKA

8 months ago

Popular News

  • YANGA MBELE KWA MBELE

    YANGA MBELE KWA MBELE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WATAALAMU WAFUNGUKA MITAZAMO YA MIKATABA 8

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKEMEA VIONGOZI ‘KUVIMBA’

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DEMOKRASIA ISIZICHAFUE NCHI ZETU – RAIS DK. SAMIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ZIARA YA RAIS KAGAME, RUTO KUIMARISHA DIPLOMASIA KIUCHUMI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?