• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

MOHAMED CHANDE KUONGOZA TUME YA UCHUNGUZI VURUGU ZA OKTOBA 29

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 18, 2025
in Habari, Kitaifa, Siasa
0
MOHAMED CHANDE KUONGOZA TUME YA UCHUNGUZI VURUGU ZA OKTOBA 29
0
SHARES
16
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Novemba 18, 2025, kwa mamlaka aliyonayo, ameunda Tume huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea nchini kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu.

Katika taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk. Moses Kusiluka, Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, ndiye aliyeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo.

Wajumbe watakaofanya kazi na Jaji mstaafu Chande ni pamoja na Profesa Ibrahim Hamis Juma, Jaji Mkuu mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Balozi Ombeni Yohana Sefue, Mwanadiplomasia na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu na Balozi Radhia Msuya, Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu.

Wengine ni Balozi Luteni Generali Paul Meela, Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu, IGP Said Ally Mwema, Balozi David Kapya, Mwanadiplomasia na Balozi Mstaafu, pamoja  na  Dk. Stergomena Lawrence Tax, Katibu Mtendaji Mstaafu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC).

Previous Post

BARAZA LA MAWAZIRI

Next Post

CCM: TUTAISIMAMIA SERIKALI

Next Post
CCM: TUTAISIMAMIA SERIKALI

CCM: TUTAISIMAMIA SERIKALI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SMZ YAPONGEZA UDHAMINI KOMBE LA MAPINDUZI 

SMZ YAPONGEZA UDHAMINI KOMBE LA MAPINDUZI 

8 months ago
MELI KUBWA NNE ZA MIZIGO KUIFUNGUA TANZANIA KIUCHUMI

MELI KUBWA NNE ZA MIZIGO KUIFUNGUA TANZANIA KIUCHUMI

6 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?