• ePaper
Wednesday, March 18, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

RAIS DK. MWINYI AITA WAWEKEZAJI Z’BAR

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
November 20, 2025
in Habari, Kitaifa
0
RAIS DK. MWINYI AITA WAWEKEZAJI Z’BAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi

0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI MAALUMU,
Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kuvutia wawekezaji wengi wenye mitaji mikubwa kuja kuwekeza nchini.

Alisema hayo, alipoifungua rasmi Hoteli ya Tembo Kiwengwa Resort, iliyopo Kiwengwa, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Dk. Mwinyi alisema sekta ya utalii, inaendelea kukua kwa kasi kubwa, tayari Zanzibar imevuka rekodi ya wageni wanaoingia nchini, hadi kufikia Oktoba, mwaka huu, takriban 743,000 waliwasili nchini.

Kwa mujibu wa Dk. Mwinyi, hali ya utulivu na amani iliyopo kabla na baada ya uchaguzi mkuu, ni kichocheo kikubwa kinachowavutia wageni kuitembelea Zanzibar.

Rais Mwinyi alisisitiza azma ya serikali ya kufikia wageni milioni moja kwa mwaka.

Akizuingumzia hoteli hiyo, Dk.Mwinyi alielezea kufurahishwa kuona wawekezaji  wazawa wanawekeza miradi mikubwa yenye tija na kuwataka wawekezaji wengine  kuwekeza zaidi.

Dk. Mwinyi alisema wawekezaji wa aina hiyo, wanachangia dhamira ya serikali ya kufikia lengo la kuzalisha ajira 350 kwa vijana kama ilivyoainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kasi ya uwekezaji ni kubwa hivi sasa.

Aliipongeza menejimenti ya hoteli hiyo kwa kuwaunga wajasiriamali wa eneo la Kiwengwa kwa kuwapa soko la uhakika la kuuza bidhaa zao katika hoteli hiyo.

Previous Post

NITAONGOZA KWA KUZINGATIA USHIRIKIANO – SIMBACHAWENE

Next Post

YANGA ‘FULL’MZUKA CAFCL

Next Post
YANGA ‘FULL’MZUKA CAFCL

YANGA ‘FULL’MZUKA CAFCL

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA APOKEA TUZO TELE ZA UTALII

RAIS DK. SAMIA APOKEA TUZO TELE ZA UTALII

2 months ago
HISTORIA ELIMU MSINGI YAANDIKWA

HISTORIA ELIMU MSINGI YAANDIKWA

2 months ago

Popular News

  • MANDONGA AJA KIVINGINE

    MANDONGA AJA KIVINGINE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI YATUMIA BILIONI 64/- KUBORESHA UWANJA WA NDEGE IRINGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWIGULU AWAWEKA MTEGONI VIGOGO WILAYA, HALMASHAURI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ALAMA TATU KUMUENZI JPM

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DK. YONAZI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?