• ePaper
Sunday, June 14, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

TRA UNITED KAZI KAZI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 16, 2025
in Burudani, Michezo
0
TRA UNITED KAZI KAZI
0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

TIMU ya soka ya TRA United chini ya Kocha Etiene Ndayiragije kesho itaanza mazoezi ya kujiandaa kwa mechi mbalimbali ikiwemo Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na UHURU, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Christina Mwagala, amesema baada Ligi Kuu Tanzania Bara kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), kikosi chao kitatumia muda huo kujiandaa vyema.

Amesema wachezaji walipewa mapumziko ya siku 10 na sasa wanarejea mazoezi kujiandaa vizuri kwa Ligi Kuu pamoja na Kombe la Shirikisho.

“Baada ya mapumziko ya siku 10 wachezaji wanaingia kambini Jumatano (kesho), ambapo mazoezi rasmi yamepangwa kuanza keshokutwa mkoani Tabora, kuhusu tetesi  juu ya kusaka saini ya mchezaji wa Yanga, Denis Nkane na kuachana na Emmanuel Mwanengo, hivi sasa siwezi kuongea maana hizo ni tetesi.

“Uongozi utasema kila kitu ni wachezaji gani tumesajili na wangapi tumeachana nao, lakini siyo hivi sasa maana katika usajili kila kitu kinaongelewa sio hapa nchini hadi nje ya nchi sio jambo la ajabu,” amesema.

Msemaji huyo amesema hivi sasa kikosi chao kimeimarishwa zaidi baada ya uwepo wa kocha, Ndayiragije katika kikosi hicho.

“Hivi sasa timu yetu imeimarika kwa kiwango kikubwa tuna imani wachezaji watakuwa bora zaidi, mashabiki wategemee mambo mazuri kwani tunakuja kufanya vitu vikubwa zaidi,” amesema.

Katika Ligi Kuu Bara, TRA United ipo nafasi ya 10 ikiwa na alama tisa katika mechi saba.

Previous Post

BONDIA MWAKYEMBE AMKUBALI MMALAWI

Next Post

KIPA NIGERIA ASHUSHA PRESHA

Next Post
KIPA NIGERIA ASHUSHA PRESHA

KIPA NIGERIA ASHUSHA PRESHA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI CHAMPONGEZA JOHARI

CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI CHAMPONGEZA JOHARI

7 months ago
BALOZI NCHIMBI ATAKA RAIA KUILINDA AMANI

BALOZI NCHIMBI ATAKA RAIA KUILINDA AMANI

2 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA ATAKA MIKOPO ISIWE MZIGO

    RAIS DK. SAMIA ATAKA MIKOPO ISIWE MZIGO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • AFRIKA KUCHOCHEA UTUNZAJI MAZINGIRA KUPITIA NISHATI SAFI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWAKINYO AOMBA RADHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • YANGA, SIMBA NI KIVINGINE ZAIDI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MEXICO YAANZA KWA KISHINDO WC, KADI ZATEMBEA HATARI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?