• ePaper
Saturday, May 2, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MACHO YA MASHABIKI AFCON 2025 YAPO HAPA RABAT, MOROCCO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 19, 2025
in Burudani, Michezo
0
MACHO YA MASHABIKI AFCON 2025 YAPO HAPA RABAT, MOROCCO
0
SHARES
6
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MOROCCO

MACHO ya mashabiki yapo kuwaangalia nyota mbalimbali watakaoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025).

Michuano hiyo imepangwa kuanza kufanyika Jumapili  katika viwanja mbalimbali nchini Morocco.

Mchezaji Achraf Hakimi wa Morocco ni nyota ambaye anasubiriwa kuangaliea vitu atakavyovifanya ndani ya dimba.

Mohamed Salah wa Misri hii inaweza kuwa ‘ngoma ya mwisho’ ya mchezaji huyo kupata kombe moja ambalo litaweka historia na wengi wanataka kuona atang’ara asu vinginevyo.

Tayari mchezaji huyo amekuwa anahusishwa kuondoka Liverpool na kwenda kucheza Ligi Kuu ya Saudi Arabia.

Victor Osimhen  wa Nigeria ni staa mwingine ambaye utimamu wake humfanya kuwa ndoto mbaya kwa mlinzi yeyote kutokana na uwezo wake kuwa mkubwa wa kupachika mabao.

Brahim Díaz wa Morocco ni mchezaji wa Real Madrid ameongeza mwelekeo mpya wa ubunifu katika safu ya kiungo ya Morocco.

Mchezaji mwingine ni Ademola Lookman wa  Nigeria ambaye amekuwa shujaa ndani ya kikosi cha nchi hiyo katika maeneo magumu anapokuwa dimbani.

Omar Marmoush wa Misri ni mshambulizi anayeichezea timu ya Manchester City kwa sasa ni mmoja wa washambuliaji walio katika kiwango bora zaidi duniani.

Previous Post

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA UJENZI BANDARI YA UVUVI KILWA

Next Post

YANGA, MAYO USO KWA USO

Next Post
YANGA, MAYO USO KWA USO

YANGA, MAYO USO KWA USO

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA AWAKOSHA VIONGOZI WA DINI NCHINI

RAIS DK. SAMIA AWAKOSHA VIONGOZI WA DINI NCHINI

6 months ago
DK. SAMIA AAHIDI NEEMA TANGA AKIPEWA RIDHAA YA KUONGOZA NCHINI

DK. SAMIA AAHIDI NEEMA TANGA AKIPEWA RIDHAA YA KUONGOZA NCHINI

7 months ago

Popular News

  • TANZANIA YAJINADI KIMATAIFA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

    TANZANIA YAJINADI KIMATAIFA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • VYALENGA KUIJENGA JAMII KIUCHUMI NA KIROHO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KUVUMILIANA MUHIMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI SANGU ABAINISHA HIFADHI SKIMU INAVYOENDA KUBADILI MAISHA YA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUCTA: WAAJILI WATEKELEZE NYONGEZA YA KIMA CHA MISHAHARA SEKTA BINAFSI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?