• ePaper
Thursday, April 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

YAJUE MAENEO MAALUMU YA MASHABIKI AFCON MOROCCO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 23, 2025
in Burudani, Michezo
0
YAJUE MAENEO MAALUMU YA MASHABIKI AFCON MOROCCO
0
SHARES
3
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RABAT, Morocco

MICHUANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ilianza kutimua vumbi juzi jijini Rabat, Morocco.

Katika michuano hiyo inayoshirikisha timu 24 kutoka Afrika, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa kushirikiana na mwenyeji Morocco, wameandaa maeneo mbalimbali kwa mashabiki kuhakikisha wanapata burudani ya kutosha katika michuano hiyo.

Maelfu ya mashabiki hujitokeza katika maeneo hayo kabla ya kwenda uwanjani, baada au wengine huamua kutokwenda uwanjani bali hubakia kutazama mpira kwa televisheni katika maeneo hayo.

Maeneo hayo maarufu Fan Parks ni sehemu muhimu kwa mashabiki kufurahia burudani mbalimbali ikiwemo muziki na maeneo ya kununua jezi na vitu mbalimbali vya soka na utamaduni.

MAENEO YA MASHABIKI AFCON MOROCCO

Rabat: Esplanade OLM Souissi

Rabat: Sale Bab El Mrissa

Casablanca: Espace Toro

Casablanca: Espace Météo

Agadir: Agadir Beach (La Marina)

Fes: Jardin Botanique

Marrakech: Bab Jdid

Tangier: Villa Harris Park

Previous Post

NI MWANZO WA SIMULIZI MPYA

Next Post

DK. MWIGULU HAPOI

Next Post
DK. MWIGULU HAPOI

DK. MWIGULU HAPOI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

EL KAABI ANAWIRI AFCON

EL KAABI ANAWIRI AFCON

4 months ago
SIRI UTEUZI VIONGOZI CCM

SIRI UTEUZI VIONGOZI CCM

1 month ago

Popular News

  • PROFESA IBRAHIM ATIA NENO TUME YA JAJI CHANDE

    PROFESA IBRAHIM ATIA NENO TUME YA JAJI CHANDE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SERIKALI YAFUTA LESENI 40 ZA UTAFITI  WA MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TIMU OFISI YA MAKAMU WA RAIS, WIZARA YA MAJI KUCHUANA MEI MOSI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMBA, FOUNTAIN GATE SIKU YA HESHIMA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. MWINYI AKAGUA MJI WA AFCON FUMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?