• ePaper
Friday, October 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

BOUANGA MATUMAINI KIBAO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 25, 2025
in Burudani, Kimataifa, Michezo
0
BOUANGA MATUMAINI KIBAO
0
SHARES
9
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RABAT, Morocco

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Gabon, Denis Bouanga amesema wana matumaini ya kuweka historia ya aina yake katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inayoendelea nchini Morocco.

Bouanga ni mmoja wa wachezaji wenye uzoefu mkubwa katika michuano hiyo ndani ya kikosi cha Gabon msimu huu.

Amesema mipango yake ni kuisaidia Gabon kufanya vyema katika michuano ya AFCON msimu huu japokuwa watakutana na upinzani mkali.

“Nina matumaini nitaisaidia timu kufika hatua mbali katika michuano ya AFCON japokuwa tutakutana na upinzani mkubwa.

“Tunataka kufika mbali na kuwa na mafanikio ambayo hatujawahi kuyapata hapo awali katika michuano ya AFCON,” alisema.

(BBC)

Previous Post

MBEUMO FURAHA TELE

Next Post

KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI

Next Post
KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI

KOCHA GABON AITAKANUSU FAINALI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAAGIZO MATATU KWA DK. NCHEMBA

MAAGIZO MATATU KWA DK. NCHEMBA

11 months ago
TUMEJIPANGA

TUMEJIPANGA

10 months ago

Popular News

  • WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    WABUNGE AFRIKA WAUNGA MKONO AJENDA YA RAIS DK. SAMIA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BRITISH AIRWAYS KUREJEA TANZANIA, KUANZA SAFARI MEI 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA SIMBA AICHIMBA YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • SIMULIZI MKASA WA MWANAMKE ANAYEDAIWA KUUAWA KWA RISASI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TPA YAELEZA SIRI UTOAJI HUDUMA BORA BANDARINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?