• ePaper
Tuesday, September 15, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

MWAKINYO KUPIMA UZITO LEO

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 25, 2025
in Burudani, Kitaifa, Michezo
0
MWAKINYO KUPIMA UZITO LEO
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Mtanzania Hassan Mwakinyo, leo atawaongoza mabondia wenzake k upima wa uzito kwa ajili ya pambano la ‘Boxing On Boxing Day’.

Mwakinyo atapanda ulingoni kuzichapa na Stanley Eribo kutoka Nigeria kesho katika pambano lisilo la ubingwa, raundi 10, uzito wa kati litakalofanyika katika Ukumbi wa Warehouse jijini Dar es Salaam.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Kampuni ya Peaktime Promotion, Meja Selemani Semunyu alisema mabondia wote kutoka nje ya nchi wameshafika na leo kutakuwa na upimaji uzito kuhakikisha uwepo wa mtanange huo.

Alisema maandalizi ya pambano hilo yamefikia hatua za mwisho hivyo mabondia wamejipanga vyema kutoa burudani nzuri kwa watanzania amboa watajitokea katika matanange huo.

“Zoezi la upimaji uzito litafanyika katika Ukumbi wa Warehouse ambapo pambano hilo litafanyika, wito wetu kwa wadau kujitokeza kwani siku zote wamekuwa bega kwa bega na sisi katika kuhakikisha vijana wanafikia malengo yao,” alisema Semunyu.

Semunyu alisema pambano hilo litakuwa la historia kutokana na aina ya mapambano ambayo mabondia watacheza kuwa na rekodi nzuri ulingoni na katika mtandao wa ngumi boxrec.

Previous Post

GAMONDI MATUMAINI KIBAO, WADAU WAIPA TANO STARS

Next Post

MBEUMO FURAHA TELE

Next Post
MBEUMO FURAHA TELE

MBEUMO FURAHA TELE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

YANGA , SILVER NI MECHI YA KISASI NA HESHIMA

YANGA , SILVER NI MECHI YA KISASI NA HESHIMA

11 months ago
MPINA APIGWA ‘STOP’ URAIS ACT-WAZALENDO

MPINA APIGWA ‘STOP’ URAIS ACT-WAZALENDO

1 year ago

Popular News

  • SIMBA HII GUSA UNASE CAFCL

    SIMBA HII GUSA UNASE CAFCL

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UNDANI UGONJWA WA FIGO NA MATIBABU YAKE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?