• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

EDNA LEMA AWAITA MASHABIKI KMC

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 27, 2025
in Burudani, Kitaifa, Michezo
0
EDNA LEMA AWAITA MASHABIKI KMC

KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema

0
SHARES
5
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

KOCHA wa Yanga Princess, Edna Lema amewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa dabi ya Ligi ya Wanawake Tanzania Bara dhidi ya Simba Queens kwa lengo la kuwapa hamasa wachezaji.

Mchezo huo utafanyika kesho saa 12:00 jioni katika Uwanja wa KMC, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza Dar es Salaam, kocha huyo alisema maandalizi ya mchezo wa dabi yanaendelea vizuri huku wachezaji wake wakitambua umuhimu wa mechi hiyo.

“Waje Jumapili tunatamani kushinda mchezo wetu dhidi ya Simba Queens ni kipimo kizuri kwa sisi kuona ni namna gani tunaenda kujipanga kujiandaa vizuri msimu huu, hivyo ni mechi muhimu kwetu.

“Nawahaidi tunaenda kufanya vizuri katika mchezo huo kwa sababu tunahitaji kupata ushindi ili kuendelea kubaki kileleni kwa sababu sisi ndiyo tunaongoza ligi hivi sasa,” alisema.

Kocha huyo aliongezea kuwa wachezaji wake wako tayari kwa mchezo wa kesho hivyo anawaomba wadau wa soka wajitokeza kwenda kuona burudani kutoka kwao kwani wamejipanga vyema.

“Tunawaomba mashabiki wa Yanga princess kujitokeza kuja kutupa sapoti ili kufanya vizuri katika mchezo wetu, malengo yetu ni kuendelea kuwa kileleni katika msimamo wa ligi, mechi ya leo ndiyo italeta njia nzuri,” alisema.

Katika msimamo wa ligi Yanga Princess ipo kileleni akiwa na pointi 12, wakati Simba Queens yupo nafasi ya pili akiwa na pointi 12 wote wameshuka dimbani mara nne.

Previous Post

MOROCCO ATOA TANO KOMBE LA MAPINDUZI

Next Post

TANZANIA, UGANDA KATIKA TAKWIMU

Next Post
TANZANIA, UGANDA KATIKA TAKWIMU

TANZANIA, UGANDA KATIKA TAKWIMU

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

Uchumi wa Tanzania unaendelea kukua kwa asilimia 6.8

1 year ago
TANZANIA NI NCHI YA PILI AFRIKA KUWA NA HADHI YA  UTALII WA JIOLOJIA (GEOPARK MUSEUM)

TANZANIA NI NCHI YA PILI AFRIKA KUWA NA HADHI YA  UTALII WA JIOLOJIA (GEOPARK MUSEUM)

4 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?