• ePaper
Sunday, August 16, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SERIKALI YAITAKA STARS KUTOKATA TAMAA AFCON

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 29, 2025
in Burudani, Kimataifa, Michezo
0
SERIKALI YAITAKA STARS KUTOKATA TAMAA AFCON
0
SHARES
11
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA 

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amewataka wachezaji wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’, kutoka tamaa isipokuwa wapambane kupata ushindi katika mechi ijayo.

Taifa Stars itacheza na Tunisia kesho katika mechi ya mwisho ya kundi C ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 itakayopigwa Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat.

Tanzania ilianza michuano hiyo kwa kichapo dhidi ya Nigeria (2-1) na sare ya bao 1-1 ilipocheza na Uganda.

Akizungumza kutoka Morocco juzi, Naibu Waziri huyo alisema Taifa Stars inapaswa kupata ushindi dhidi ya Tunisia, kuhakikisha inatinga hatua ijayo.

“Kila mmoja alitarajia ushindi, tumeona wenzetu wamejipanga, msikubali kukataa tamaa, mechi yetu dhidi ya Tunisia twendeni tukapambane tukapate pointi tatu.

“Twendeni tukawape zawadi Watanzania, zawadi ya mwaka mpya kwa kuwafunga Tunisia, serikali ipo na nyinyi na wananchi wa Tanzania bado wapo na nyinyi, nendeni mkapambane,” alisema.

Mchezaji wa Stars, Simon Msuva ambaye alikuwa mchezaji bora dhidi ya Uganda, alisema bado wana imani watafanya vizuri dhidi ya Tunisia.

Previous Post

SMZ YAPONGEZA UDHAMINI KOMBE LA MAPINDUZI 

Next Post

MSUVA NA REKODI YA MAANA AFCON

Next Post
MSUVA NA REKODI YA MAANA AFCON

MSUVA NA REKODI YA MAANA AFCON

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

UWANJA WA BENJAMIN MKAPA WAFIKIA 90%

UWANJA WA BENJAMIN MKAPA WAFIKIA 90%

9 months ago
TUZO YA CAF KWA RAIS DK. SAMIA NI HESHIMA

TUZO YA CAF KWA RAIS DK. SAMIA NI HESHIMA

9 months ago

Popular News

  • KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    KIINI DABI KARIAKOO KUPIGWA ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TAMU, CHUNGU DABI YA K’KOO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA TEC

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA AWAPA RAHA VIGOGO USHIRIKA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • BILIONI 30/- KUJENGA UWANJA WA KISASA SIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?