• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

SIMBACHAWENE AZINDUA NAMBA YA KUFUATILIA NIDA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 30, 2025
in Habari, Kitaifa
0
SIMBACHAWENE AZINDUA NAMBA YA KUFUATILIA NIDA
0
SHARES
18
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amezindua namba maalumu, itakayotumiwa na wananchi kufuatilia Kitambulisho cha Taifa baada ya kuwasilisha maombi ya kitambulisho.

Hatua hiyo itatoa fursa kwa wananchi kupata na kujua taarifa za maombi ya kitambulisho kwa kutumia namba hiyo maalumu.

Waziri huyo alizindua namba hiyo maalumu Dar es Salaam, ambapo alisema vitambulisho vingi vimezalishwa na tayari vimepelekwa sehemu husika zikiwemo wilayani.

“Hivi leo tunavyozungumza katika wilaya zetu zote nchini, viko vitambulisho vingi sana ambavyo havijachukuliwa na sababu kubwa mwombaji hajui kitambulisho chake kipo katika hatua gani

“Kupitia mfumo huu ambao ninauzindua, utajibiwa na utaambiwa kama namba yako umepata ndani ya siku tano na kama hujapata ndani ya siku tano tangu ulipoomba ukitumia mfumo huu (15274) utajibiwa kwanini hujapata,”alisema Waziri Simbachawene.

Aliongeza pia serikali inafikiria kusitisha matumizi ya namba ya utambulisho (NIN), kwasababu watu wengi wameacha kwenda kuchukua vitambulisho.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), James Kaji, alisema mamlaka imeendelea kushusha vitambulisho hadi ngazi ya kata, lakini bado wananchi hawajavifuata kabla ya kuvipeleka wilayani.

Alisema baada ya kuvipeleka wilayani, anaamini kupitia mfumo huo mpya wa namba 15274, vitambulisho vitaendelea kufuatwa kwa kuwa umerahisisha zaidi taarifa za mwombaji kupitia simu ya mkononi.

Previous Post

DK. MWIGULU ASHUSHA PRESHA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI

Next Post

PM MWIGULU KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI

Next Post
PM MWIGULU KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI

PM MWIGULU KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

MAELFU  WAJITOKEZA  KUMSINDIKIZA  MAKONDA  KUCHUKUA  FOMU  ARUSHA

MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MAKONDA KUCHUKUA FOMU ARUSHA

11 months ago
DK. NCHIMBI : TUTAKAMILISHA BANDARI YA UVUVI KILWA

DK. NCHIMBI : TUTAKAMILISHA BANDARI YA UVUVI KILWA

9 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?