• ePaper
Sunday, September 13, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

DIAMOND KUTOKA KIVINGINE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 10, 2026
in Burudani
0
DIAMOND KUTOKA KIVINGINE
0
SHARES
12
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na NASRA KITANA

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul ‘Diamond’, ametoa ahadi kwa mashabiki zake kuwa kabla ya mwezi wa mtukufu wa Ramadhani anatarajia kuja kivingine kwa kuachia albamu mpya.

Akizungumza jijini Dar es Salaam,  Diamondi alisema kuwa albamu hiyo itakuwa bora na kuwakumbusha mashabiki wake kwanini alipendwa kipindi anaanza muziki.

Alisema kuwa katika albamu hiyo kutakuwa na nyimbo kali tofauti na ‘Zuwena’ na ‘Yatapita’ ambazo tayari zimeshasikilizwa sana na mashabiki wake.

“Natarajia kutoa albamu yangu kabla ya mwezi wa Ramadhani, ninataka niwakumbushe nini kilinifanya niweze kupendwa kipindi naanza muziki na nyimbo zangu kama ‘Kamwambie’ na ‘Mbagala’.

“Albamu itakuwa moto wa kuotea mbali kwani itasheheni nyimbo zenye ubora zaidi tofauti na zilizozoeleka, kila shabiki wangu atasikiliza moja hadi nyingine bila kuchoka,” alisema Diamond.

Msanii huyo alisema anajua nini ambacho mashabiki wake wanakitaka, hivyo atawapatia kabla ya kuanza kwa mfungo wa mwezi wa Ramadhani.

Msanii huyo amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwani albamu hiyo itakata kiu ya burudani waliyoikosa kwa muda mrefu.

Previous Post

KOCHA SIMBA AJITETEA, MASHABIKI WACHARUKA

Next Post

RAIS DK. SAMIA ATAJA SABABU MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

Next Post
RAIS DK. SAMIA ATAJA SABABU MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

RAIS DK. SAMIA ATAJA SABABU MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SUMAYE: DK. SAMIA NDIYE KIONGOZI MWENYE UPEO

SUMAYE: DK. SAMIA NDIYE KIONGOZI MWENYE UPEO

11 months ago
USAFIRISHAJI MAJINI KUFUNGUA UCHUMI WA MWANZA NA TAIFA

USAFIRISHAJI MAJINI KUFUNGUA UCHUMI WA MWANZA NA TAIFA

5 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    RAIS DK. SAMIA NI KIONGOZI WA MATOKEO

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?