• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

TANZANIA TUNA RAIS JASIRI NA MCHAPAKAZI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
March 27, 2026
in Habari, Kitaifa
0
TANZANIA TUNA RAIS JASIRI NA MCHAPAKAZI
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na Celina Mathew

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania ina Rais jasiri, shupavu na mchapakazi, na kuwataka Watanzania kumuombea na kumtia moyo ili aendelee kuwaletea maendeleo.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ameitoa kauli hiyo akizungumza na wanachama na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Runazi, Kata ya Kasharunga, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera.

Kihongosi amesema sifa hizo ndizo zinazoonyesha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anaendelea kufanya kazi kwa moyo wa dhati, licha ya changamoto na ukosoaji kutoka kwa baadhi ya watu.

“Angekuwa mtu mwingine, lazima moto ungewaka. Lakini kwa kuwa ana upendo na ni mvumilivu, tunamuombea na kumtia moyo ili aendelee kutuletea maendeleo,” amesema Kihongosi.

Aidha, amesisitiza kuwa Watanzania wote wanapaswa kushirikiana kumuunga mkono Rais Dk. Samia ili miradi ya maendeleo iendelee kufanikishwa kwa manufaa ya wananchi.

Previous Post

WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS

Next Post

RAIS DK. SAMIA KUONGOZA SHUGHULI YA KUMUAGA LUKUVI DAR

Next Post
RAIS DK. SAMIA KUONGOZA SHUGHULI YA KUMUAGA LUKUVI DAR

RAIS DK. SAMIA KUONGOZA SHUGHULI YA KUMUAGA LUKUVI DAR

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

IGP MSTAAFU MANGU AWAASA WATANZANIA KUEPUKA VISHAWISHI VYA KUVUNJA AMANI

IGP MSTAAFU MANGU AWAASA WATANZANIA KUEPUKA VISHAWISHI VYA KUVUNJA AMANI

3 months ago
TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA KIUCHUMI, MKUTANO WA IPU

TANZANIA ITAKAVYONUFAIKA KIUCHUMI, MKUTANO WA IPU

4 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?