• ePaper
Monday, June 8, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

4 ZAONGOZA KWA UKAME WA MABAO LIGI KUU BARA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 24, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
4 ZAONGOZA KWA UKAME WA MABAO LIGI KUU BARA
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikisimama kupisha Kombe la Muungano 2026, takwimu zinaonyesha kuwa timu nne zinaongoza kuwa na safu butu ya ushambuliaji katika michuano hiyo.

Katika ligi hiyo, hadi sasa kila timu imeshacheza mechi 19, ambapo baadhi zinawania ubingwa huku nyingine zikipigania kutoshuka daraja.

Kwa mujibu wa msimamo wa liigi hiyo, timu nne ambazo zina safu butu ya ushambuliaji hadi sasa msimu huu ni KMC iliyofunga mabao manane, Tanzania Prisons mabao 10 sawa na Fountain Gate na Mashujaa.

Timu hizo zinafuatiwa na Mbeya City, Coastal Union na Mtibwa Sugar ambapo kila moja imefunga mabao 16 katika mitanange 19 iliyocheza.

Namungo inafuatia kwa timu zilizopachika mabao machache zaidi ikiwa imefunga mabao 17, Dodoma Jiji imepachika mabao 18 na Pamba Jiji imefunga mabao 19.

Zilizofunga mabao 20 ni TRA United na JKT Tanzania wakati Singida Black Stars ikiweka kimiani mabao 21.

Wakati Azam FC ikifunga mabao 26, Yanga ndiyo kinara wa upachikaji wa mabao baada ya kufunga mabao 44 huku Simba ikifunga mabao 32.

Previous Post

WAZIRI MKUU AWASHUKIA WACHOCHEZI MIGOGORO

Next Post

CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

Next Post
CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

CCM YAFUNGUKA RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

AJIRA MPYA CHANZO WATU ‘KUFURIKA’ NIDA

AJIRA MPYA CHANZO WATU ‘KUFURIKA’ NIDA

5 months ago
EL KAABI ANAWIRI AFCON

EL KAABI ANAWIRI AFCON

5 months ago

Popular News

  • YANGA, SIMBA ZATOA MSIMAMO LIGI KUU BARA

    YANGA, SIMBA ZATOA MSIMAMO LIGI KUU BARA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWANZA KINARA USIMAMIZI MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WFP KUENDELEZA USHIRIKIANO NA TANZANIA USIMAMIZI WA MAAFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • HESHIMA KUBWA KWA TANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWIGULU: MAMBO MAZURI YANAKUJA, AIPA TANO SERENGETI BOYS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?