• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

AHMED ALLY NA KAMWE WANENA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
January 22, 2026
in Burudani, Habari, Michezo
0
AHMED ALLY NA KAMWE WANENA
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

MENEJA wa Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally alisema huo ni mchezo wa jasho na damu kwani wanahitaji kupata ushindi ili kujiweka salama.

“Tunakwenda kupambana kwa ajili ya kupata pointi tatu muhimu, lengo letu ni kuhakikisha tunatinga robo fainali ya mashindano hayo,”alisema.

Ahmed alisema wamepoteza mechi zote mbili katika kundi lao, lakini hawatakubali kupoteza mchezo huo na mingine iliyobaki.

Ofisa habari wa Yanga, Ali Kamwe alisema wanahitaji zaidi miguu ya wachezaji ifanye kazi kuliko maneno.

Kamwe alisema yanaweza kuzungumzwa maneno mengi, lakini ukweli muda umefika hawahitaji maneno zaidi ya  wachezaji wao kuonesha kwa vitendo kwa kupambana uwanjani kutafuta ushindi.

“Wachezaji wanatambua nini wanatakiwa kukifanya, nimepata bahati ya kuzungumza nao wamesema wanajua jukumu walilonalo na namna gani wanachama na mashabiki wanawategemea. Mimi naweza kuzungumza maneno mengi, lakini ukweli tunahitaji miguu ya wachezaji zaidi na si maneno,” alisema Kamwe.

USO KWA USO

Wachezaji wa Yanga na Simba walikutana jana, alfajiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, kila mmoja akiwa anaelekea katika majukumu ya mechi ya mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Soka Afrika(CAF).

Previous Post

MAKOCHA YANGA, SIMBA WAZITAMBIA  AL AHLY, ESPERANCE

Next Post

PAWASA, MTEMI WAZIPA MCHONGO YANGA, SIMBA

Next Post
PAWASA, MTEMI WAZIPA MCHONGO YANGA, SIMBA

PAWASA, MTEMI WAZIPA MCHONGO YANGA, SIMBA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA AUNGWA MKONO ULINZI WA RASILIMALI ZA NCHI 

RAIS DK. SAMIA AUNGWA MKONO ULINZI WA RASILIMALI ZA NCHI 

4 months ago
WASANII WASHUSHA BURUDANI NZITO MIKUTANO YA KAMPENI ZA DK. SAMIA

WASANII WASHUSHA BURUDANI NZITO MIKUTANO YA KAMPENI ZA DK. SAMIA

11 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?