• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

RAIS WA MUZIKI AHIMIZA AMANI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 8, 2026
in Habari, Kitaifa
0
RAIS WA MUZIKI AHIMIZA AMANI
0
SHARES
8
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

RAIS wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo November amesema bila ya uwepo wa amani hakuna jambo lolote linafanyika hapa nchini.

Akizungumza Dar es Salaam, Rais huyo alisema kazi za muziki zinahitaji uwepo wa amani ambapo wasanii wanafanya kazi zao kutokana na ujio wa wadau.

“Amani ikitoweka katika nchi au kitongoji, inafanya wasanii kushindwa kufanya kazi zao kwa uhuru na uchumi unashuka kutokana kukosekana kwa mapato ya fedha.

“Amani ndiyo kitu cha muhimu katika taifa hivyo Watanzania wanapaswa kuendeleza tunu hii muhimu, kwani tunaona baadhi ya nchi ambazo hivi sasa zinavurugu, hakuna maendeleo.

“Tunapaswa kudumisha hii amani kwa sababu ikipotea inakuwa ngumu kuirudisha, pia serikali yetu chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan inapambana kuhakikisha taifa linakuwa katika hali tulivu,” alisema November.

Rais huyo aliongeza kuwa mbali ya wasanii kufanya kazi zao za muziki, bado ataendelea kuunga mkono juhudi za serikalik uhakikisha michezo inakuwa chanzo kikubwa cha kutengeneza ajira kwa vijana.

“Tunapaswa kuendeleza amani ya nchi yetu na kuwa mabalozi wakubwa hivi sasa tunatakiwa kushikamana maana Tanzania yetu inasifika kwa upendo na amani,” alisema November.

Previous Post

HAKUNA ALIYEPOTEZA NYETI-WAZIRI KATAMBI

Next Post

MSAFARA WA RAIS DK. SAMIA KIVINGINE

Next Post
MSAFARA WA RAIS DK. SAMIA KIVINGINE

MSAFARA WA RAIS DK. SAMIA KIVINGINE

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM

DK. SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU YA CCM

10 months ago
KUNENGE: JNHPP KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME NCHINI

KUNENGE: JNHPP KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME NCHINI

3 weeks ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?