• ePaper
Saturday, April 18, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

USALAMA MZURI KUWALETA NCHINI WABUNGE 2000 IPU

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
April 17, 2026
in Habari, Kitaifa
0
USALAMA MZURI KUWALETA NCHINI WABUNGE 2000 IPU
0
SHARES
4
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

HALI nzuri ya usalama imeifanya Tanzania kuwa kivutio  na kituo muhimu kuwezesha Mkufano wa Mabunge Duniani (IPU). kufanyika nchini, hivyo kuleta fursa mbalimbali za kiuchumi na kibiashara ikiwemo sekta ya utalii.

Hatua hiyo inaonyesha zaidi ya wabunge 2000 wa IPU  watatua nchini, kuhudhuria mkutano huo.

Tayari banda la maonesho la Tanzania limegeuka kuwa kivutio kikubwa na wageni wengi  wanaohudhuria Maonyesho ya Utalii Uturuki, wamefika kushuhudia na kuelezwa kuhusu vivutio mbalimbali vya utalii  na fursa zilizopo katika sekta hiyo nchini Tanzania.

HALI YA USALAMA

Kutokana na kuridhishwa na kufurahishwa kuhusu vivutio vya Tanzania na hali ya usalama mkubwa,  wageni wengi waliofika katika Mkutano huo pia walijiandikisha kwa wingi  na kuthibitisha kushiriki mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika mkoani Arusha, Oktoba, mwaka huu.

Katika mkutano huo utakaofanyika nchini, zaidi ya Wabunge 2000 wa Mabunge ya Dunia wakiongozwa na Maspika wa Mabunge yao Duniani, wanategemewa kuhudhuria mkutano huo.

Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB), Vivian Temu, amenukuliwa katika taarifa iliyopatikana jijijini Dares Salaam leo, akisema bodi hiyo imejipanga kuhakikisha wabunge hao wa IPU wanapata fursa kutembelea vivituo vya utalii nchini  watakaposhiriki mkutano wao mwezi Oktoba.

Previous Post

DK. JAKAYA AKUTANA NA RAIS RUTO JIJINI NAIROBI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. SAMIA AKOSHWA NA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA UWANJA WA SAMORA

DK. SAMIA AKOSHWA NA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA UWANJA WA SAMORA

7 months ago
FIFA YADHAMIRIA KUWEKA NGUVU TANZANIA

FIFA YADHAMIRIA KUWEKA NGUVU TANZANIA

3 months ago

Popular News

  • USALAMA MZURI KUWALETA NCHINI WABUNGE 2000 IPU

    USALAMA MZURI KUWALETA NCHINI WABUNGE 2000 IPU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. JAKAYA AKUTANA NA RAIS RUTO JIJINI NAIROBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATOA MWELEKEO WA KITAIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KIGOGO CHAUMMA ‘AIPA TANO’ TUME YA JAJI CHANDE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MUYUNGI ASISITIZA WANANCHI KUFANYA BIASHARA YA KABONI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?