• ePaper
Thursday, June 18, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

JASHO LIMEMWAGIKA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
May 4, 2026
in Burudani, Habari, Kitaifa, Michezo
0
JASHO LIMEMWAGIKA
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

JASHO limemwagika. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya timu za Simba na Yanga jana kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Katika mtanange huo uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam, watani hao wa jadi walionyesha burudani ya aina yake iliyotawaliwa na magoli manne mazuri.

Simba ilikuwa ya kwanza kutangulia kwa mabao 2-0 ndani ya dakika 10 za mchezo kabla ya Yanga kurudi mchezoni na kusawazisha mabao hayo.

Wekundu hao wa Msimbazi walipata bao la kwanza dakika ya tatu kupitia Libasse Gueye aliyeunganisha kwa mguu wa kushoto pasi mahiri kutoka kwa Clatous Chama.

Dakika saba baadaye, Simba ilipata bao la pili lililofungwa na Chama aliyeweka mpira kimiani kwa ‘tiki taka’ akiunganisha pasi ya juu iliyopigwa na Ellie Mpanzu. Dakika ya 18, Yanga ilirejea mchezoni kwa bao la Prince Dube aliyefunga kwa mguu wa kulia akipokea pasi ya Duke Abuya.

Dakika ya 51, Bakari Mwamnyeto aliifungia Yanga bao la kusawazisha kwa mguu baada ya kichwa cha Dube kuokolewa na kipa Kassali.

Kutokana na matokeo hayo, Yanga inaendelea kuongoza ligi ikiwa na pointi 48 katika mechi 20 ikifuatiwa na Simba yenye pointi 43 katika mechi 20, kila timu ikiwa na mechi 10.

Previous Post

MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA JUU YA CHINA YAWA CHACHU KUKUZA UCHUMI WA KIDIJITALI

Next Post

RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE NI KIUNGANISHI CHA WANANCHI

Next Post
RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE NI KIUNGANISHI CHA WANANCHI

RIPOTI TUME YA JAJI CHANDE NI KIUNGANISHI CHA WANANCHI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

RAIS DK. SAMIA ANAVYOENDELEA KUVUTIA JAMII YA KIMATAIFA

RAIS DK. SAMIA ANAVYOENDELEA KUVUTIA JAMII YA KIMATAIFA

4 months ago
AJIRA MPYA CHANZO WATU ‘KUFURIKA’ NIDA

AJIRA MPYA CHANZO WATU ‘KUFURIKA’ NIDA

6 months ago

Popular News

  • WABUNGE: AMANI ISICHEZEWE

    WABUNGE: AMANI ISICHEZEWE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WABUNGE WAIPONGEZA NSSF NA PSSSF KWA KUANZISHA SKIMU YA HIFADHI KWA WALIOJIAJIRI NA UWEKEZAJI WA KIWANDA CHA NGOZI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WABUNGE WAPONGEZA UWEKEZAJI KLICL

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAKAGUZI WA CAF WARIDHISHWA NA MAENDELEO YA VIWANJA VYA AFCON 2027

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MKAKATI KUDHIBITI VIFO WAJAWAZITO WAANIKWA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?