• ePaper
Wednesday, September 9, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home AFYA

DK. YONAZI APOKEA TAARIFA AFUA ZA UKIMWI PWANI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
May 18, 2026
in AFYA, Habari, Kitaifa
0
DK. YONAZI APOKEA TAARIFA AFUA ZA UKIMWI PWANI
0
SHARES
17
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, amepokea taarifa ya maendeleo ya Mkoa wa Pwani katika utekelezaji wa afua za masuala ya UKIMWI, hasa huduma na mipango inayohusu Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU).

Dk. Yonazi amepokea taarifa hiyo leo Mei 18, 2026 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, baada ya kutembelea, kukagua na kutoa elimu katika Kituo cha Maarifa cha Mdaula kilichopo Chalinze, mkoani humo.

RC Kunenge amemweleza katibu huyo kuwa, serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamechukua hatua ya kuboresha huduma za afya na ustawi wa jamii kwa wananchi wa mkoa huo.

Akizungumza baada ya kupokea taarifa kutoka kwa RC Kunenge, Dk. Yonazi amesema serikali imeongeza bajeti katika huduma za VVU na UKIMWI ili kuleta ufanisi zaidi katika utoaji wa huduma.

Zahanati ya Mdaula ilianza kutoa huduma za afya Oktoba 2022, zikiwemo huduma za wagonjwa wa nje, huduma za mama na mtoto, uzazi na chanjo kupitia kliniki tembezi.

Previous Post

WASIRA: WALIOFANYA VURUGU WAPATIKANE

Next Post

RAIS DK. SAMIA ATOA AGIZO  KOMBE LA DUNIA 2026

Next Post
RAIS DK. SAMIA ATOA AGIZO  KOMBE LA DUNIA 2026

RAIS DK. SAMIA ATOA AGIZO  KOMBE LA DUNIA 2026

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. NCHIMBI AGUSIA HISTORIA MPYA ILIYOANDIKWA NA DK. SAMIA

DK. NCHIMBI AGUSIA HISTORIA MPYA ILIYOANDIKWA NA DK. SAMIA

11 months ago
SERIKALI ITAIMARISHA TIBA ZA KITALII – DK. MPANGO

SERIKALI ITAIMARISHA TIBA ZA KITALII – DK. MPANGO

1 year ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?