• ePaper
Sunday, July 26, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Biashara

DK. NCHIMBI : DITF 2050 IWE KITOVU CHA UBUNIFU NA BIASHARA ZA KIMATAIFA

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
July 7, 2026
in Biashara, Habari, Kimataifa
0
0
SHARES
5
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na ZIANA BAKARI

MAKAMU wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema ifikapo mwaka 2050 Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) yanapaswa kubadilika kutoka kuwa eneo la kuonyesha bidhaa pekee na kuwa kitovu cha ubunifu, utafiti, teknolojia pamoja na biashara za kimataifa.

Akizungumza katika hafla ya utoaji wa tuzo kwa washiriki na wadau wa maonesho hayo, Dk. Nchimbi amesema kufanikisha maono hayo kunahitaji kuendelea kuimarisha sekta ya viwanda na uzalishaji nchini, huku upatikanaji wa mitaji ukipewa kipaumbele.

Amesema mitaji ni nguzo muhimu katika kukuza uwekezaji, kuongeza uzalishaji na kuwezesha viwanda kuzalisha bidhaa zenye ushindani katika masoko ya ndani na nje ya nchi.

Aidha, amewataka washindi wa tuzo hizo kutoridhika na mafanikio waliyoyapata, bali waendelee kuboresha bidhaa na huduma zao, kuongeza uzalishaji na kuchangia kwa kiwango kikubwa zaidi ukuaji wa uchumi wa taifa.

Dk. Nchimbi amesema Serikali inatarajia tuzo hizo ziwe chachu ya ubunifu, ushindani, uwekezaji na uzalishaji wenye tija, ili kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara na maendeleo ya viwanda katika ukanda na kimataifa.

Previous Post

UKAME BASI MSIMBAZI

Next Post

WADAU WAMGOMEA SAMATTA

Next Post
WADAU WAMGOMEA SAMATTA

WADAU WAMGOMEA SAMATTA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

TRA INAVYOIMARISHA USHIRIKIANO NA WAFANYABIASHARA KUKUZA UCHUMI

7 months ago
RAIS DK. SAMIA AIPAISHA TANZANIA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI

RAIS DK. SAMIA AIPAISHA TANZANIA MAZINGIRA MAZURI YA UWEKEZAJI

5 months ago

Popular News

  • KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    KATIBA MSINGI WA HAKI – DK. NCHIMBI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MABASI YA UMEME REKODI ZANZIBAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KOCHA AIPA JEURI YANGA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MWALIMU, GUEYE WAPO SIMBA SANA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI ASHTUKIA ‘USANII’ WA WACHIMBAJI MADINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?