• ePaper
Wednesday, July 29, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Habari

50 BORA ‘FORM SIX’ KUSOMA AI NJE YA NCHI

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
July 27, 2026
in Habari, Kitaifa
0
50 BORA ‘FORM SIX’ KUSOMA AI NJE YA NCHI
0
SHARES
8
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na MWANDISHI WETU

SERIKALI imewatangaza wanafunzi 50 bora waliofanya vizuri katika mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2026, watakaopelekwa kusoma nje ya nchi katika fani za Akili Unde (AI), Data Science na teknolojia nyingine za kisasa kupitia mpango wa Samia Scholarship.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameyasema hayo leo Julai 27, 2026 jijini Dodoma, wakati akitangaza orodha ya wanufaika wa mpango huo.

Prof. Mkenda amesema, jumla ya wanafunzi 1,050 watanufaika na Samia Scholarship, ambapo wanafunzi 1,000 watasoma katika vyuo vikuu vya ndani huku 50 bora zaidi wakipata nafasi ya kusoma nje ya nchi.

Amesema mpango huo unatekelezwa kwa maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kuibua na kuendeleza vipaji katika masomo ya Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati (STEM), ili kuzalisha wataalamu watakaochochea maendeleo ya taifa.

Aidha, amesema wanafunzi watakaopata ufadhili wa ndani wanapaswa kuomba udahili katika vyuo vikuu vya Tanzania katika shahada za Hisabati, Sayansi, Uhandisi au Tiba, kisha kujaza fomu ya kujiunga rasmi na mpango wa Samia Scholarship, ambapo serikali itagharamia masomo yao kwa asilimia 100.

Wanafunzi hao wametokana na tahasusi za PCM, PCB, CBG, PMG, CBA na PMC.

Previous Post

DHAHABU YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI 1.2/- YAKAMATWA IKITOROSHWA DAR

Next Post

RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

Next Post
RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

DK. MWINYI ATANGAZA NEEMA WAZEE ZANZIBAR

DK. MWINYI ATANGAZA NEEMA WAZEE ZANZIBAR

11 months ago
NMB YAONGEZA  MAGARI MAALUMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA

NMB YAONGEZA  MAGARI MAALUMU YA HUDUMA ZA KIFEDHA

6 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

    RAIS DK. SAMIA ATAJA SIFA ZA MAWASILIANO SERIKALINI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • 50 BORA ‘FORM SIX’ KUSOMA AI NJE YA NCHI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DHAHABU YENYE THAMANI YA ZAIDI YA BILIONI 1.2/- YAKAMATWA IKITOROSHWA DAR

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAIS DK. SAMIA ATAKA UADILIFU, USHIRIKIANO NA MATOKEO KWA VIONGOZI WAPYA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • KAIRUKI YAFIKISHA WATOTO 160 UPANDIKIZAJI MIMBA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?