DK. SAMIA APOKEA HATI ZA MABALOZI, ATEUA VIGOGO PSSSF, TANESCO
DODOMANA MWANDISHI WETU RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao ambapo amesisitiza dhamira ya Tanzania kuimarisha...










