• ePaper
Thursday, September 10, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SERIKALI YAITA WADAU KUISAPOTI TAIFA STARS

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 12, 2025
in Burudani, Kimataifa, Michezo
0
SERIKALI YAITA WADAU KUISAPOTI TAIFA STARS
0
SHARES
7
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

SERIKALI imetoa wito kwa wadau wa soka na Watanzania kuisapoti timu ya Taifa Stars, kuhakikisha inafanya vizuri katika fainali za Kombe la Mataifa  Afrika (AFCON 2025), zitakazofanyikia nchini nchini Morocco.

Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani nchini humo ambapo Stars hivi sasa ipo Misri katika maandalizi ya mwisho.

Akizungumza Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Neema Msitha alisema ni muda wa Watanzania kutumia fursa katika mashindano hayo kipindi Stars itakapokwenda nchini Morocco.

Alisema mbali ya kwenda kuwashangilia Stars, Watanzania wanapaswa kutumia vyema nafasi hiyo katika kupata fursa mbalimbali.

“Timu yetu ya Stars inaendelea vyema na maandalizi serikali chini ya BMT kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

“Wito kwa Watanzania ni muda mwafaka kuwaunga mkono Stars kwenda Morocco pale anapoona kuna fursa kwa sababu kuna mambo mengi nje ya kwenda kuishangalia timu yetu,” alisema.

Katibu huyo alisema kuna fursa mbalimbali za kiuchumi ambapo Watanzania wanapaswa kuzitumia vizuri kipindi wakirudi hapa nchini waziendeleze.

Previous Post

WANNE ‘BYE BYE’ YANGA

Next Post

MWIGULU ACHARUKA

Next Post
MWIGULU ACHARUKA

MWIGULU ACHARUKA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

WADAU WAFICHUA AMANI INAVYOVUTIA WAWEKEZAJI

WADAU WAFICHUA AMANI INAVYOVUTIA WAWEKEZAJI

5 months ago
KIHONGOSI ATOBOA SIRI UIMARA WA CCM

KIHONGOSI ATOBOA SIRI UIMARA WA CCM

8 months ago

Popular News

  • RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    RAIS DK. SAMIA, NDEJEMBI TURUFU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • WAZIRI AONYA, ATOA SIKU 60 WENYE SILAHA HARAMU

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • NDEJEMBI MZIGONI RASMI, AKEMEA KAZI KWA MAZOEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • TUME MIPANGO, NIRC WAJADILI UBORA MIRADI YA UMWAGILIAJI

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • MASAUNI AANIKA UMAHIRI WA TANZANIA INAVYOLINDA UDONGO, MATUMIZI MBOLEA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Not enough quota to unlock this post
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?