• ePaper
Sunday, May 31, 2026
  • Login
No Result
View All Result
Uhuru Publication
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Hadithi
  • Login
No Result
View All Result
ePaper
Uhuru Publication
Home Burudani

SERIKALI KUONGEZA NGUVU KATIKA MCHEZO WA POOLTABLE

Abdurahman Jumanne by Abdurahman Jumanne
December 22, 2025
in Burudani, Michezo
0
SERIKALI KUONGEZA NGUVU KATIKA MCHEZO WA POOLTABLE
0
SHARES
10
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Na AMINA KASHEBA

SERIKALI imepanga kukutana na wadau wa mchezo wa pooltable kujadili namna ya kunyanyua timu za taifa za mchezo huo kufanya vyema kimataifa.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, alisema serikali itakaa na wadau mbalimbali ikiwemo Chama cha Pooltable Tanzania (TAPA) kuhakikisha mchezo huo unafanya vyema zaidi.

Mwinjuma alisema timu ya taifa ya mchezo huo imekuwa ikifanya vyema ikiwemo hivi karibuni kushika nafasi ya pili katika Kombe la Afrika hivyo serikali itaongeza nguvu kuhakikisha inafanya vizuri zaidi.

“Moja kitu kilichonifurahisha ni namna ya viwango vya wachezaji vimekuwa vikubwa, nimesikia timu ya taifa ilishika nafasi ya pili mara mbili mashindano ya Afrika ni muda wa serikali kuangalia kwa macho mawili kwa sababu kuna vijana wana uwezo wa kuwa mabingwa,” alisema.

Mwinjuma alisema serikali itaongeza nguvu kuhakikisha hakuna ukata wa mara kwa mara kwa timu zinapokwenda kushiriki michuano mbalimbali.

Pia, alisema serikali ina mpango wa kuweka maeneo maalumu kwa ajili ya kuchezwa mchezo huo.

“Mchezo wa Pooltable mara nyingi unachezwa mtaani, hivi sasa umekuwa ukifanya vizuri kwa timu ya taifa, sasa ni muda wa ushirikiano kati ya serikali na viongozi wa mchezo kuona namna ya kusaidia kufika mbali zaidi kwani uwezo wa kuchukua ubingwa upo,” alisema.

Previous Post

STARS IFANYE NINI KUTOBOA AFCON?

Next Post

FAHAMU MADHARA KULALA DAKIKA 30 BAADA YA KULA

Next Post
FAHAMU MADHARA KULALA DAKIKA 30 BAADA YA KULA

FAHAMU MADHARA KULALA DAKIKA 30 BAADA YA KULA

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommended

SINGIDA, SIMBA BALAA ZITO LEO

SINGIDA, SIMBA BALAA ZITO LEO

3 months ago
MSUVA NA REKODI YA MAANA AFCON

MSUVA NA REKODI YA MAANA AFCON

5 months ago

Popular News

  • SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    SERENGETI BOYS KILA KONA, RAIS SAMIA AWAPA MILIONI 500/-

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • RAS: UTUNZAJI MAZINGIRA AJENDA YA KIPAUMBELE KWA MKOA WA MWANZA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • UPELE UMEPATA MKUNAJI STARS

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • ‎ RAIS DK. SAMIA: POLISI MSIDHARAU TAARIFA

    0 shares
    Share 0 Tweet 0
  • DK. MWIGULU ATETA NA WAZIRI MKUU WA CONGO BRAZZAVILLE

    0 shares
    Share 0 Tweet 0

Stay Update, Subscribe Now!

Check your inbox or spam folder to confirm your subscription.

Ukurasa Rasmi wa Televisheni ya Gazeti la Uhuru.

Facebook-f Instagram X-twitter Youtube tiktok
Quick Links
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalum
  • Kolamu
  • Makala
Services
  • ePaper
Contact Information
  • Dar es Salaam,Tanzania
  • info@upl.co.tz
  • +255 783 925 742
Uhuru Publications , 2025 © All Rights Reserved
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • FAQ
No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Michezo
  • Uchaguzi
  • Burudani
  • Toleo Maalumu
  • Kolamu
  • Makala
  • Contact
  • Hadithi

© 2026 JNews - Premium WordPress news & magazine theme by Jegtheme.

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?